Nyie waongo hamna u handsome wowote, mada km hizi Jf za kujipigia promo wanaume wengi nnimezisoma na mm kujihakikishia nilikuwa nawafuata pm badaa ya mda kupita tangu alivyo post mada km hii namuingiza kingi nampeleka whatsap na muomba namb, wanasura mbaya km fenesi pori, haina hata mvuto kuvaa kwenyewe ziroo, wengi mnooo nomewaingiza kingi bila wao kukijua kwaza asilimia kubwa ya wanaume wa jf ni wazeee/watu wazimaa