Mwonekano unanikondesha

Acha uboya mtoto wa kiume unatangaza urembo wako au unataka kuolewa.
Hakuna mwanaume anaeweza kujisifia kuwa yy ni mrembo otherwise ana elements za kike.
 
Utafi.ki.li.wa wewe, sema huna pesa tu!!!
Handsome mwisho form six, mademu wa uraiani wanataka mawe tu sio sura yako nzuri!
 
Ushauri katafute pesa, hamna cha usumbufu wala nini ao wanawake wanakuona mtoto wa mama haua future, hawawezi kula u handsome wako that why
 
Reactions: Pep
Kwani umtongozapo mwanamke..unamtongoza kwa kumwambia nataka nikuoe au kwa kumwambia unampenda???

Anza na na hisia zako first usimtongoze mwanamke direct kwa kumwambia nataka nikuoe....atajua direct wewe unachohitaji ni ndoa na si upendo....


So tengeneza upendo kwanza....hayo mengine yatafata coz upendo wa kweli hauangalii mavazi,mwonekano,sijui uhandsome sijui kunyoa....Bali hisia na upendo wa kweli tu
 
Basi utakuwa tatizo we we hamna mwanamke anae mkataa mwanaume kisa handsome boy
Usikute hana nguvu za kiume!! Demu gani ataemkubali wakati nguvu zenyewe za kubusti
 
Reactions: e2n
We ukikitana na mwanamke tu unamwambia nataka kukuoa?? utaoa na majini sis wanawak tunajua ku act sana sasa endelea kuwaambia utakachopata ucje kulia hapa.
We tafta unaeona unamwelewa tengeneza uhusiano mchunguze akikufaa mpe surprise ya pete uone kama atakataa
 
Nyie waongo hamna u handsome wowote, mada km hizi Jf za kujipigia promo wanaume wengi nnimezisoma na mm kujihakikishia nilikuwa nawafuata pm badaa ya mda kupita tangu alivyo post mada km hii namuingiza kingi nampeleka whatsap na muomba namb, wanasura mbaya km fenesi pori, haina hata mvuto kuvaa kwenyewe ziroo, wengi mnooo nomewaingiza kingi bila wao kukijua kwaza asilimia kubwa ya wanaume wa jf ni wazeee/watu wazimaa
 
Shule mnafungua lini jmn mpumzishe server.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…