Mwl.wa kemia nipo hapa

Hyo cyo education Mbona unaingilia fani za watu.
Hapana mkuu,sio kama naingilia but nipo na widen brain katika fani zote hizo by profession pia hat uzoefu,so naweza kufundisha na si kwa sababu ni mkemia tu ko huko education siwezi,sema fani nilosomea ni hiyo ya ukemia ila niko vzuro katik masuala ya teaching
 
Ndugu, anamaanisha andika vizuri kuonesha kwamba ni graduate mtarajiwa kama ambavyo umeandika BSc. Chemistry kwa Mara ya pili, utakuwa hujamwelewa tu.
Yap hata mim nilimwelewa hivo mkuu,sema nimejibu kwa njia tofauti kidgo ni makosa tuu.but thanks alot for your advice too
 
Sahih mno mkuu, Ze Heby umejibu kwani si walosomea hiyo fani ndio wanaweza kuimaster vizur hapana bali ni inategemeana na mtu,kwani kuna watu ambao ni multipurpose au wanauwezo wa kusaidia hat nje ya professions zao kam mim.
 
Umesajiliwa na baraza la wakemia na kupewa leseni ya professional chemist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…