Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Ni mara ya pili Radio One wanaanda kipindi kuhusiana na upangaji wa madaraja ya kufaulu kidacho cha nne. Huyu bwana mara zote amekuwa akimkosoa waziri Ndalichako bila kujikita katika mada husika. Najiuliza 1- kama huyu ni mwalimu hajikiti kwenye mada husika je wanafunzi anaowafundisha wanatoka na nini? 2-je anaugomvi na waziri Ndalichako?