Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari !
Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi.
Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii nchi.
Napenda nikukumbuke Mwl. Nyerere.
Miss you a lot Babu.