OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Yeye lini alitowa fursa ya maoni ya wananchi?
Yeye lini alitowa fursa ya maoni ya wananchi?
Wananchi walimtaka Mkapa hiyo 1995??
Kwa bahati mbaya sana Lowasa hajawahi kuwa sawa na wagombea wengine. Lowasa ni fisadi mkubwa kuliko wengine. Kwa kigezo hicho tunamuondoa mapema then tuwalinganishe waliobaki
Hata Mitume kuna mambo waliyasema/ waliyaagiza na wala wao wenyewe hawayakuyafanya
Hata Mitume kuna mambo waliyasema/ waliyaagiza na wala wao wenyewe hawayakuyafanya
Halafu we bwana una Chuki Binafsi sana. Nakuona sana Kwenye comment zako. Yaani ile Chuki kabisa pasee..!Kwa bahati mbaya sana Lowasa hajawahi kuwa sawa na wagombea wengine. Lowasa ni fisadi mkubwa kuliko wengine. Kwa kigezo hicho tunamuondoa mapema then tuwalinganishe waliobaki
Kama yepi? hatutaki maneno matupu weka ushahidi
Hata Mitume kuna mambo waliyasema/ waliyaagiza na wala wao wenyewe hawayakuyafanya
Soma soma somaKama yepi? hatutaki maneno matupu weka ushahidi