Mwl. Nyerere alitumia hekima kuongopa census ya Mwaka 1967?

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Inasemakana Census ya Mwanzo ya 1967 ilionyesha kuwa Wakristo wapo 68% na Muslim 22% (Kwa ulinganisho). Ila kwa Busara na hekima Mwalimu Nyerere aliona kutotoa Ukweli halisi kwani aliogopa baadhi ya Wakristo wanaweza kutake Advantage ya kutaka Kudominate (kutaka kudai Changes) ya Nchi kuwa ya Kikristo, Na pia aliogopa Waislamu wasije wakajisikia Inferior na alitaka kudumisha Umoja na Amani.

Lakini bado pia vyanzo vingine kama ''The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 inaonyesha 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim,'' inaonyesha Wakristo bado wako wengi sana Tanzania.

Na Current source nyingine ya ''Per Forum Report, April 2010'' Inaonyesha kuwa Wakristo wako 60% na waislamu wako 36%.

Ingawa pia kuna habari kuwa waislamu baada ya kuona ukweli ni huo, waliamua kuja na mkakati wa kwamba wakioa Christians, wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanawasilimisha, na pia mkakati wa ''Kuzaa sana'' ili kuweza kujiongeza idadi yao.

LAKINI kwa yote, Tanzania ni Nchi ya Amani kwa Upande wa Dini, Kwani nazani Wakristo hawana tatizo, Sijawahi kusikia labda wana demand au kudai Kujitenga au Ubaguzi wa Dini, Natumani Wakristo na Waislamu watazidi kupendana na Kuishi kwa Amani na Udugu wa Umoja,... Kwani IMANI hazileti Chuki au Fujo.

Wish Tanzanians Kuishi Amani na Upendo na Umoja bila kujali Tofauti za Dini, Kwani Ndio Kuhubiri Imani hapo na Dini nzuri ni UPENDO na AMANI.
 
Tunataka kipengele cha dini ktk sensa ili ukweli ujulikane. Tumechoka poroja za kanisa.
 
Mleta mada hujaeleza vizuri Mwal. Nyerere alifanya nini na takwinu hizo ambazo awali zilionyesha 68% kwa 22%. Je alifanya kuwa 50:50? ili kuweka hali ya hewa sawa?
 
Inasemakana Census ya Mwanzo ya 1967 ilionyesha kuwa Wakristo wapo 68% na Muslim 22% (Kwa ulinganisho). Ila kwa Busara na hekima Mwalimu Nyerere aliona kutotoa Ukweli halisi kwani aliogopa baadhi ya Wakristo wanaweza kutake Advantage ya kutaka Kudominate (kutaka kudai Changes) ya Nchi kuwa ya Kikristo, Na pia aliogopa Waislamu wasije wakajisikia Inferior na alitaka kudumisha Umoja na Amani.

Lakini bado pia vyanzo vingine kama ''The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 inaonyesha 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim,'' inaonyesha Wakristo bado wako wengi sana Tanzania.

Na Current source nyingine ya ''Per Forum Report, April 2010'' Inaonyesha kuwa Wakristo wako 60% na waislamu wako 36%.

Ingawa pia kuna habari kuwa waislamu baada ya kuona ukweli ni huo, waliamua kuja na mkakati wa kwamba wakioa Christians, wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanawasilimisha, na pia mkakati wa ''Kuzaa sana'' ili kuweza kujiongeza idadi yao.

LAKINI kwa yote, Tanzania ni Nchi ya Amani kwa Upande wa Dini, Kwani nazani Wakristo hawana tatizo, Sijawahi kusikia labda wana demand au kudai Kujitenga au Ubaguzi wa Dini, Natumani Wakristo na Waislamu watazidi kupendana na Kuishi kwa Amani na Udugu wa Umoja,... Kwani IMANI hazileti Chuki au Fujo.

Wish Tanzanians Kuishi Amani na Upendo na Umoja bila kujali Tofauti za Dini, Kwani Ndio Kuhubiri Imani hapo na Dini nzuri ni UPENDO na AMANI.

Acha porojo hizo Subiri sensa itatoa data za ukweli
 
Naam, Kiwekwe kipengele cha kabila la Mtanzania na dini ya Mtanzania maana mie kabila langu Mtanzania na dini yangu Mtanzania.
 
1.kipengele cha mchezo unaoupenda maana kila siku ni soka tu ndo inapendelewa,
2.Kipengelee cha sanaa unayoipenda maana air time kubwa kwenye radio ni bongofleva,
3.Kipengele cha chama cha siasa ,maana ccm ndo wanapokea ruzuku kubwa ,je inaendana na idadi ya wanachama ,
4.Kipengele cha timu unayoishabikia maana tunasikia tu Yanga ndo ina mashabiki wengi...
 
Na sisi Wachaga tunataka kujua tuko wangapi ili tupange Maendeleo ya Kilimanjaro na kuboresha maisha ya Wachaga.. Ahahahahahaha

UBAGUZI NI KAMA KULA NYAMA YA MTU............................
 
Wasisahau na idadi ya line za simu ulizonazo maana nasikia mama ntilie wanazo nne.
 
Mbona Vodacom Wanajua wateja wao? Airtel hawajalalamika

Wahesabuni huko huko Wanapowafikia na Kuwafuata.
 
Inasemakana Census ya Mwanzo ya 1967 ilionyesha kuwa Wakristo wapo 68% na Muslim 22% (Kwa ulinganisho). Ila kwa Busara na hekima Mwalimu Nyerere aliona kutotoa Ukweli halisi kwani aliogopa baadhi ya Wakristo wanaweza kutake Advantage ya kutaka Kudominate (kutaka kudai Changes) ya Nchi kuwa ya Kikristo, Na pia aliogopa Waislamu wasije wakajisikia Inferior na alitaka kudumisha Umoja na Amani.

Lakini bado pia vyanzo vingine kama ''The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 inaonyesha 62% of the population of Tanzania is Christian, 35% is Muslim,'' inaonyesha Wakristo bado wako wengi sana Tanzania.

Na Current source nyingine ya ''Per Forum Report, April 2010'' Inaonyesha kuwa Wakristo wako 60% na waislamu wako 36%.

Ingawa pia kuna habari kuwa waislamu baada ya kuona ukweli ni huo, waliamua kuja na mkakati wa kwamba wakioa Christians, wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanawasilimisha, na pia mkakati wa ''Kuzaa sana'' ili kuweza kujiongeza idadi yao.

LAKINI kwa yote, Tanzania ni Nchi ya Amani kwa Upande wa Dini, Kwani nazani Wakristo hawana tatizo, Sijawahi kusikia labda wana demand au kudai Kujitenga au Ubaguzi wa Dini, Natumani Wakristo na Waislamu watazidi kupendana na Kuishi kwa Amani na Udugu wa Umoja,... Kwani IMANI hazileti Chuki au Fujo.

Wish Tanzanians Kuishi Amani na Upendo na Umoja bila kujali Tofauti za Dini, Kwani Ndio Kuhubiri Imani hapo na Dini nzuri ni UPENDO na AMANI.

Amani ipo na tunaomba Mungu ajaalie indelee kuwepo. Ili tusiendelee kubahatisha si tuhesabiwe tu ili tuwe na takwimu sahihi. Sioni tatizo katika kufahamu hali halisi.
 
Na sisi Wachaga tunataka kujua tuko wangapi ili tupange Maendeleo ya Kilimanjaro na kuboresha maisha ya Wachaga.. Ahahahahahaha

UBAGUZI NI KAMA KULA NYAMA YA MTU............................

Na sisi wadosi, hindu, baniani taka jua idadi yetu, serikali iko ignore sana jamii yetu!
 
Serikali inaona tabu ugumu gani kuweka kipengele cha dini?
 
Back
Top Bottom