Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Ayayaaa
 
Aya gani ya Biblia inasema tule keki za upako? Mwakasege ni mwalimu lazima afundishe kweli na haki
 
Utakua msukule wa Mwamposa si bure...ndo nyie mnakanyaga mafuta nakujifia mnanuka dhiki hadi mnatia kinyaa.
 
Mwakasege ana waumini? Ana Kanisa?

Ukiwa mjinga chutama
 
Wewe muda si mrefu nakuona ukienda kwà Mwamposa
Maisha yangu yote yaliyobaki siwezi kwenda kwa Tapeli!

Mwakasege kaanza kufundisha injili kipindi ambacho huyo tapeli wenu Mwamposa hajui atatoka lini huko sitimbi hata mswahi haujui.

Pelekeni dhiki zenu huko huku mkijifia kwa upumbavu wenu.
 
Ala...kumbe unachoangalia ni muda alioutumia kuhubiri Neno la Mungu? Bure kabisa!!!!
 
Ilikua semina ikiruka live via Upendo TV ,...note: aliongea mwishoni wakati watu wakitaka kutoa sadaka...kwà ufupi sana...kama kuwataadharisha wasijihusishe na mambo ya birthday cakes....

Kwasababu Ni Ni kazi yake kama mtumishi kuonya na kukemea yale anayojua sio halali kwenye ulimwengu wa Roho.
Soma Biblia au la soma Quran hujui unachoongea.
Una mhemko!
 
Mwakasege anafundisha habari za maisha ya kiroho na namna yanavyofanya kazi katika ulimwengu wa mwili...

Nyie endeleeni kukanyaga mafuta..kuyanywa na kulamba chumvi..
Sisi Mtume wetu anafundisha namna human spirit inavyoweza kufanya Kazi kwenye human soul.

Tena anasema, haipendezi hata kidogo human soul KUSHINDWA kuwa connected na human spirit.

Ndio maana maneno yake yana nguvu sana na tena yana mamlaka ya kuponya, kutenda miujiza ....na tutaendelea kujazana kwake....sio wakristo tu au waislam ...yani ni watu wa dini zote....we ushaona wapi kitu ya namna hii?

Mwakasege mbona kashindwa kuwaconvise madhehebu mengine wamfuate?

Sema AYAYAYA
 
Kwasababu Ni Ni kazi yake kama mtumishi kuonya na kukemea yale anayojua sio halali kwenye ulimwengu wa Roho.
Soma Biblia au la soma Quran hujui unachoongea.
Una mhemko!
ACHA kumtetea jamaa...truth must be told!! Waache kumuonea wivu Mwamposa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…