Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Unafananisha vitu 2 tofauti, hao ni watu wanaotumikia falme 2 tofauti kaka...
Ufalme ambao upo under Holy Spirit Vs Ufalme ambao upo under Holy Ghost


Nakumbuka, kuna wakati Yesu alifananishwa kama Ghost na wanafunzi wake..akakataa kuwa yeye sio ghost....

Lengo alitaka waijue kweli kutoka straight kwà Mungu, na sio ile kweli iliyotoka kupitia vitabu vya Mungu
 
"Kama umeishawahi kuandika maombi kumi na mbili ", ndiyo maana yake hiyo.
Utamka nani haya.
Yapo maneno ya kishetan pia
upewa hawa wanamuziki hata mitume na manabii mfano neno HITLER,AYE, NK yapo maneno yasiyo na maana lakini urudiwa rudiwa majukwaani au madhabauni hayo maneno yamebeba nguvu za kiroho
 
Mwaka Jana Mwamposa alifundisha Kuhusu "Hekima ya Mungu", kwa mwezi mzima sijui kama ulipokea chochote kutoka kwenye hilo somo,unahitaji kuomba sana hekima,siioni hekima yako katika hiki ulicholeta hapa.
Mungu kanituma niyaseme niliyoyaandika. So Mimi ni nani nikatae? Au nimbishie? Je kama ni warning [emoji3544]
 
Hos 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.

Endeleeni kuwaabudu hao wanyakyusa wawili. Wapeni sandaka watajirike wajenge mahoteli na majumba kwa sadaka zenu. Siku mkipata akili mtajidharau sana
 
Utamka nani haya.
Yapo maneno ya kishetan pia
upewa hawa wanamuziki hata mitume na manabii mfano neno HITLER,AYE, NK yapo maneno yasiyo na maana lakini urudiwa rudiwa majukwaani au madhabauni hayo maneno yamebeba nguvu za kiroho
Usijifunze kwà kutumia Akili zako au kwà kupitia youtube.....utapotea bob!

ACHA KUKARIRI ANZA KUAMINI na Amini ya kwamba Mtume Mwamposa atakufungua kwà jina la YESU..., sema AYAYAYA!!!
 
Ukiona wachungaji sijui manabii wanasemana sababu kuu ni sadaka ila kila mtu na imani yake bwana mwakasege namkubali sanaa na mwamposa pia ila kusali kanisa langu kkkt siachi

much respect 👍🏾

with loads of love ❤️
 
Mwaposa ni tapeli
Janja janja au sio? Is that what you mean? Kama ni Kazi rahisi....jaribu na wewe basi?!! Nyomi lote lile?

Nakumbuka hata Herod alionaga wivu kwà YESU...alijua kabisa ...akiwa mkubwa watu watakua wakifuata mara kwà mara...

Weeee Mama SAMIA hawezi kujaza uwanja wa mkapa kiasi kile ....mfxxxx we unafanya mchezo nini?
 
toka uko chizi wee
Nimeipaka comment YAKO Mafuta ya upako.....

Sema "AYAYAYA"

Na Nakutabiria...mwaka kesho majira kama haya tayari utakua umeishaupata upako na utaanza kuhudhuria Makongamano na semina za Bulldozer Mwamposa...,


Nani mtenda miujiza???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…