Michael Bosco
Member
- Jan 10, 2010
- 85
- 47
Suala hili limekuwa likiniumiza kichwa kwa kujiuliza kwanini Mwl JK Nyerere alikuwa havai nguo za rangi ya kijani kwa kuwa yeye ndiye mwasisi wa chama hicho kwani nimejiuliza alikuwa anawaza nini au alikuwa anatabiri tofauti na waasisi wenzake walikuwa wanavalia sare za chama. Ebu nisaidieni kama kuna mtu kawahi kuona swala kama hilo au kawahi kujiuliza ni kwanini. Nawasilisha hoja waheshimiwa wanajamii forum.