Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,978
- 5,295
Wanaume tumeumbiwa matesoJuzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.
Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.
Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.
Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.
Huzuni mno!!
Rais keJuzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.
Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.
Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.
Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.
Huzuni mno!!
Hii comment yako haikuwa na umuhimu kabisa walaHiyo sentence '' kupitia simu ya mke wangu'' haikuwa na umuhimu kabisa wala.
Kabisainasikitisha ila ndoukweli
Mbona wanaume huku kilimanjaro tunapigwa tu ngumi na wake zetuJuzi kati kuna clip ilisambaa sana mitandaoni, mimi si mtumiaji sana wa mitandao mingine ukitoa JF na tweeter. Nilibahatika kuperuzi Facebook kupitia simu ya mke wangu, nikakuta clip ya jamaa(tapeli) akipigwa mno.
Waliokuwa wanampiga ni mke na wanaume baadhi, nafikiri walim track na kumuita aende. Jamaa anaweka mikono usoni ila mwanamke anamtukana matusi ya nguoni(kiungo cha kutolea mtoto), huku wengine wanampiga mikanda.
Nilishawahi kuona clip moja kama hii, ila ilikuwa ya mwizi wa kike(si tapeli), hakupigwa ila alirekodiwa tu akihojiwa kwa nini aliiba. Duuh! Week moja mbele vyombo vya sheria na NGO's zilipiga mno kelele kuwa yule Ustaadh aliyemkamata na kurekodi, afungwe.
Nilijifunza kitu kikubwa mno, hatupo sehemu salama. Kila siku mwanaume anazidi kukandamizwa sana, na sadly baadhi ya wanaume wanaungana na akina mama kuwakandamiza wenzao, na wanafurahia hili.
Huzuni mno!!
No si kihivyo.Wanaume tumeumbiwa mateso
USSR
Unashangaa?Duh
Ova
Hapana, si kila siku.Wewe kila siku lazima uingie kupitia simu ya mkeo
I don't thinkje umesahau hivi siku ile uhuru waliposema chifu hatagombea chifu alijitokeza alisema hii zamu ya wanawake japo alisema hii ni kwa kudra ya mungu ila kuanzia 2026 ndo ule mkutano wa beijing madhimio yake ndo yanaenda kutekelezwa kisawa sawa yani ke 80 me 20 sio 50/50