mtabaki kuilaumu serikali bure huku asilimia kubwa hawajishughulishi... huyo mwizi anajishughulisha... hao wenye degree na masters ukimuuliza anakwambia natafuta kazi nikae ofisini nivae tai.. its difficult kufika in a very good position if u r thinking of working for someone, especially kampuni za kibongo, it works better kama watu wangekua wanakaa wanafikiria kuanzisha different startups kuweka ka competition kidogo watu wakue kiakili in terms of business.... and some majors! duh! wanaochukua sijui wanachukua kwa nini..