Mwizi na Dogo

Murras

Member
Jun 2, 2012
8
1
Mwizi mmoja alienda kuiba kitaa kimoja hivi,akabaatika kuingia kwenye nyumba moja pale kitaani.Alipoingia ndani akafanikiwa kuchukua baadhi ya vitu.Alipo maliza kuiba si akataka asepe,dogo akamkamata mguu akamwambia usipo iba na begi langu la shule napiga kelele.
 
ungeifuta posti yangu ndo uweke hii..
 
Back
Top Bottom