mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Tena sisitiza huyo ndiyo mwanaume
Nina wasiwasi huo!! Maana ingeambatanishwa na picha ya kichapo ningesadiki.Huyo atakuwa kachafuka tu na mashetani yake hao ndio wanamfanyia huduma navyo jua wabongo wakishika mwizi wao ni kipondo tu
Nina wasiwasi huo!! Maana ingeambatanishwa na picha ya kichapo ningesadiki.