Mtaani kwetu kuna wezi balaa! Mara kwa mara wamekuwa wakijaribu kufungua mlango wa nyumba yangu usiku wa manane bila mafanikio. Siku moja nilirudi home usiku nikiwa nimechoka mno. Bahati mbaya nikasahau kufunga kulock mlango wangu. Kuamka asubuhi nikakuta mlango wazi lakini hakuna kitu kilichoibiwa! Inaelekea mshikaji a.k.a mwizi alikuja kama kawa ila akapigwa butwaa na mlango ulioachwa wazi alafu kimyaaa.....sasa angeingia ndani aibe?