Mwizi aliyetajwa na Magufuli kuiba milioni saba kwa dakika asomewa mashtaka 199

Kesi za tanzania zilivo za kipuuz cjui kama jamhuri itashinda..
Naomba kujua kilichojiri kwenye kesi ya KASUSURA..
n:b kipindi hicho ckua interested na magazeti
KASUSURA aliibia SERIKALI na KUHUJUMU UCHUMI!!!??????
 
Satanás ndani lakini mbeleni watakuja kuwekewa dhamana na serikali ikilegea watatoka....
Wezi Kama hawa hawastahili dhamana wao ni jela tu ili iwe fundisho kwa wengine....
 
Unajua nnapopata raha na nchi hii ni pale ambapo niliskia hukumu ya kesi ya BAZIL MRAMBA.. uuuuuwi kweli sheria zetu bado zinawafavour mafisadi na wahujumu uchumi
 
Nope, KASUSURA yeye c aliiba mipunga kutoka airport iliokua inapelekwa citibank.. Tukaskia 30 yrs in jail. Hv kesy yake imeishia wapi
Hiyo kesi sikuipa kipaumbele kwa sababu haikuwa na maslahi ya Taifa. Hiyo hela ilikuwa ya Citibank. Na ukizingatia hao wakoloni wameshatuibia sana rasilimali na madini yetu. Kwa hiyo Kasusura ni kama alijilipa ujira wa rasilimali zetu in advance.
 
Jamani tunaomba update
Mheshimiwa bado kashikilia msimamo wake au ameshafuta kauli.

Million saba kwa. Dakika?
Tanzania ndo nchi pekee yenye migration mithili ya wale madude toka Serengeti kwenda massai Mara. Dar to Dom
 
Hawa jamaa nao tayari wako nje baada ya Magufuli kuamuru wawekwe ndani kuanzia 2016.

Amekufa yeye Magufuli akawaacha gerezani, hatimaye wako nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…