kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,405
nani amfuatilie huyo mwehu? Anaonywa asiendelee kulopoka, ona sasa alitaka kupindisha au kupotosha watu juu ya shambulio la lissu, watu wakamnyooshea maelezo mpaka yamemgusa jiwe! Mwambieni asiendelee kulopoka!Kwa nini Waitara anawauma sana?
acha dharau kwa watanzania, msiwafanye wananchi ni wajinga kiasi hicho, muwe na Aibu hata kama mnasaka vyeo jaribu kumuogopa mungu angalau kidogo tu.Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Lakini ndio wanaotakiwa na awamu hii si umemuona Jerry Muro bado Musiba aendelee kujitoa akili zaidi lbd atafikiriwa.Mwita anaonekana anatatizo la akili wew jaribu kumuangalia utajua huyu mtu si mzima
acha dharau kwa watanzania, msiwafanye wananchi ni wajinga kiasi hicho, muwe na Aibu hata kama mnasaka vyeo jaribu kumuogopa mungu angalau kidogo tu.
hayo majina ni ya dawa za asili!?Mungu wuepushe Waitara na Kigwangala na jicho la husuda kutoka upinzani.
Ingelikuwa ni kweli angelibadilika akawa chujio la chai.Na yoyote anayeamini Tundu Lisu kapigwa risasi 30 ni mgonjwa wa akili!
nina imani ukipewa ukuu wa wilaya utaacha haya, lakini naomba uwe na huruma kwa wananchi acheni kuwadharau kuwaona hawana Akili hawawezi kufikiri yaani kila mnalotengeneza mnataka waliamini bila kutafakari kwanza, muogopeni Mungu.Na yoyote anayeamini Tundu Lisu kapigwa risasi 30 ni mgonjwa wa akili!
Majina asili ya kiafrika.hayo majina ni ya dawa za asili!?
Tatizo lenu nyinyi ccm maslahi hamsomi nini kimeandikwa badala yake mnarukia kujibu tu ili mradi mnahesabu post ili jioni mkachukue posho yenuKwa nini Waitara anawauma sana?
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuumizwa na Waitara. Waitara bila shaka ana tatizo la akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuropoka kwa kiwango kile.Kwa nini Waitara anawauma sana?
Sema shetani mtoa rohoMungu wuepushe Waitara na Kigwangala na jicho la husuda kutoka upinzani.
aliyetoa idadi ya risasi ni daktari yakupasa uende huko Nairobi kawaulize pia nenda kahesabu matundu ya risasi kwenye gari ya Lisu.Unaamini kabisa Tundu Lisu kapigwa zaidi ya risasi 30? Hivi anayewadharau Watanzania na kuwatukana ni yupi kama siyo chadema? Risasi moja inatosha kuuwa au kulemaza hizo 30 zilipigwa na kuingia sehemu gani ya mwili wake?
Naona baada ya majibu ya mh Lissu stone hatoweza tena kusafiri nje ya nchi maana hana pa kuficha sura yakeMungu kawanyima maarifa ili waumbuke.
Kawapa pigo kama lile la wajenzi wa mnara wa babeli.
Wataendelea kudhalilika kila siku.
Umemsahau na MpendazoeJohn Shibuda hasikiki tena. Sijui Waitara amejiandaaje!!
Kumbe gari ya Kigwangala nayo imepinduliwa na wapinzani au dereva alikuwa Chadema.Mungu wuepushe Waitara na Kigwangala na jicho la husuda kutoka upinzani.
kigezo kikubwa ni kutengeneza Uzushi, kuwasingizia wapinzani chochote kile bila kujali kuwa watanzania wana Akili nyingi wanajua vingi kwa sasa.Ukuu wa wilaya na ukurugenzi, hizi nyadhifa awamu hii zinapatikana kama njugu, kigezo pekee ujue kutupa makombora upinzani