Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,128
Wale wako hospital walojeruhiwa sa zakaria nivibaka ? Mijitu mingine bwana sijui yakizaliwa wapi ? Umaskini nitabu sana .maskini mmelaaniwa kabisa maana huwezi kuishi kwakusema ukweli lazima ujipendekeze ili ule .Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Hayaingii akilini.Dereva baada ya kulaza kiti cha lisu, akashuka kujificha chini ya gari.Jitaidi uwe unajenga picha ya haya maelezo
Jitaid kuforce iingie akilini, mbona wenzio imewaingia akilini?Hayaingii akilini.
Usijitoe ufahamu, kwa hiyo Chadema ndio waliowandoa walinzi siku hiyo? Na CCTV camera nazo pia ni Chadema waliziiba? Yaani huna hata aibu kuandika takataka kama hii!!!Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
[emoji12] [emoji12] kwani mkuu lisu mwema sana kwa MUNGU eeh? (kumweka binadamu mwenzio kuwa unique kwa GOD halaf mwanasiasa ni kukosa ufaham ) cdm mnanini nyie mbona akili zinawaruka kias hichoSANA, MNAOJITIA WACHUNGAJI, WATAWALA , WAHUBIRI ETC
Mateso ya kuzimu kwa ajili ya wachungaji, wahubiri, na wainjilisti watawala wanaoacha nguvu na upako wa Mungu ni makali zaidi kuliko yale ya roho zingine kule kuzimu! waliompiga Lisu risasi
Unaakili ya punda weweHili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Jitaid kuforce iingie akilini, mbona wenzio imewaingia akilini?
Kwakwer hata angekuwa hana shabahaHilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Jiulize zilitumika bunduki ngapi?Magazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.
Basi itakuwa ni kikosi cha jeshi.Jiulize zilitumika bunduki ngapi?
Kila.zaSasa kwani akisema hayo anaongopa?
Si ilikuwa hivyo au mna jipya la kutaka kutudanganya..
Kazi ya ndani ya chadema hiyo labda hata anahusika kwa jinsi anavyoendelea kupayuka ovyo huko aliko majuu.
Dereva wake anakua yote na bastora aliishika pia.. lazima.. na wakuu wenu wanajua zaidi.. msituletee hya malizaneni huko mshitakiane mfungwe
Sawa Lumumba kachukue buku 7 yakoHilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Kula like mkuuIssue ni kwanini unaogopwa uchunguz huru, na kwanini kamera itolewe hayo ni maswal ambayo yanatia shaka na pia lile eneo nani analilinda? Acheni majibu mepesi aisee mmelugeuza hili kuwa Taifa la watu wapumbavu kbs, shame on you guys very shame indeed.
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi[color].
UnA umbwiriri kwenye ubongo wako.Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Hivi kwa nini ushabiki unapofusha thinking capacity na ku trench kabisa uwezo wa kufanya simple analysis kwa kufikiri linearly. What a shame!!! Imhotep kama uliweza gundua washambuliaji walikuwa na bunduki moja tu na kwamba aliyeshambulia alikuwa mmoja tu basi wewe ni mmoja wao.Magazini ya risasi 38 ni ipi hiyo?!..kuna maswali mengi kwenye shambulio hilo.