Mwita Waitara unajidhalilisha

Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Are you insane?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Na naamini mwita anahabari nyingi nyeti.Mwita sio fara kwamba anaongea tu asiyoyajua.Aongee ya chacha aongee ya lisu nk wanataka kusema kada mtiifu kama mwita asijue yaliyokuwa nyuma yake?
 
Issue ni kwanini unaogopwa uchunguz huru, na kwanini kamera itolewe hayo ni maswal ambayo yanatia shaka na pia lile eneo nani analilinda? Acheni majibu mepesi aisee mmelugeuza hili kuwa Taifa la watu wapumbavu kbs, shame on you guys very shame indeed.
 
Umeambiwa bunduki ilikuwa moja? Hata hivyo mbona wamekataa uchunguzi huru?!
Umejaribu kujenga image ya tukio na kupima inawezekane urushaji wa risasi hadi zikafika 38?
 
Na naamini mwita anahabari nyingi nyeti.Mwita sio fara kwamba anaongea tu asiyoyajua.Aongee ya chacha aongee ya lisu nk wanataka kusema kada mtiifu kama mwita asijue yaliyokuwa nyuma yake?
Umeshaambiwa anautaka uwazir kamili na hayo ndio makubaliano yao na yule Fifi.
 
Chadema mnamuogopa sana waitara ; nyuzi haziishi kumhusu, nini tatizo?
Ana mengi anayajua kuhusu chadema, so anavyofunguka inakuwa anatia mchanga kitumbua.Swala la lisu wao hawataki hata kidogo mtu aongee nje ya mitazamo yao.Wao wanachotaka kusikia ni kuituhum serikali tu na si vingine.Huruhusiwi kujenga hoja nje ya hiyo mitazamo
 
Mkuria Waitara njaa Kali usidhani CCM ni chama cha Wapika majungu! CCM INA watu makini na wanakuchora tu unavyobwabwaja pumba na chuki zako dhidi ya Mbowe. Hata usingejiunga huko tena kuwaletea hasara tayari wako imara. Sidhani mtu kama were unaweza hata kupewa Ukatibu kata. I wish wale wa Kule Tarime waliompiga Mtikila jiwe la mdomo wangekuwepo.
 
Hivi kweli Sub machine gun mbili angepona?!
Unaambiwa walikua wanarusha ovyoovyo,arafu ni Mungu tu aliamua kumnusuru lisu.Kwa matukio ya uvamizi ukisikia mtu anakuambia walilaza kiti arafu akalala kifudifudi lazima ustaajabu kdg.Hili tukio limevunja record za dunia kwa kutumika risasi nyingi na kumuacha mlengwa akiwa hai.
 
Achaneni na huyo aliyepungukiwa.
 
Sasa inakuwaje dereva anatoka bila mkwaruzo wa risasi.
 
Yani Jamaa anaongea vitu vya ajabu kiasi kwamba hata CCM watamkataa na watamlaghai Kwa kiwango kikubwa sn.
Kajitoa ufahamu si kidogo,Ila Mungu anamwona.Itakuwa kila siku trillion 1 inaingia kwny account yake.


Poleni watumishi fedha zinatumika ktk kuwanunua hawa matapeli wa siasa badala ya kujali maslahi yenu fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii ambayo inawakandamiza.
 

Unaongea ka hayawani kwenye Siku zako.
 
Sasa inakuwaje dereva anatoka bila mkwaruzo wa risasi.
Dereva baada ya kulaza kiti cha lisu, akashuka kujificha chini ya gari.Jitaidi uwe unajenga picha ya haya maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…