Mwita Waitara unajidhalilisha

[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Ile ya akwilina pale kituoni palikuwa na mlima hivyo ilipanda kidogo bhana kumbuka kulikuwepo pia na upepo ikapeperushiwa kwenhe lile gari..[emoji144] [emoji144]
 
Kama una gari huwezi shangaa... Tafuna gari Laza kiti cha abiria afu kilalie kwa tumbo utaona mguu wa kulia utakuwa upande wa mlango
Simple logic
Baba yake tu hajawahi kumiliki hata baiskeli!!
 
Nilidhani ulivyojifungua mimba ya kichina akili zitakuwa zimerejea kumbe ndo zimepotea kabisa?
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Nakwambia, siku ya kufa MTESI WA LISU , ule mlango wa hukumu utakuwa umefunguliwa. Akifika tu mlangoni, hataruhusuiwa kuingia mpaka Lisu awepo hukumu ya haki Mungu aitoe, ndio kila mmoja aingie kunakostahili specifically kwa issue hii!
Hukumu ya watumishi wasio waaminifu

Wakati huohuo, mapepo zaidi yalianza kutoka ukutani. Lile pepo linaloitwa Kisasi lilisema kwa sauti, “Mfalme Belzebub, tumempata mmojawapo aliye mkubwa ambaye aliendesha vita dhidi ya sisi, ufalme wa giza …” Biblia inasema: “Maana ingalikuwa heri kwao kama wasingaliijua njia ya haki, kuliko kuijua, kisha kuiacha ile amri takatifu waliyopewa.” (2 Petro 2:21). Kanisa linalomjua Bwana ni lazima liendelee kuwa thabiti na kutambua kuwa Yesu ndiye tumaini PEKEE kwa ajili ya wokovu wa roho zao.



Nikiwa ningali pale, lile pepo Kisasi lilikuja karibu yangu na kuniambia, “Rodolfo, nataka unitoe kama ambavyo ulifanya kule duniani.” Lilipokuwa likisema haya tena na tena, lilikuwa linaendelea kunitesa. Na nikaona mapepo mengi yamejipanga tayari kwa ajili ya kunitesa!
Mateso ya kuzimu kwa ajili ya wachungaji, wahubiri, na wainjilisti na watawala wanaoacha nguvu na upako wa Mungu ni makali zaidi kuliko yale ya roho zingine kule kuzimu! Uwe thabiti katika mwendo wako na Mungu! Hii ni saa ya Kanisa kuwa imara. Wakati ni sasa. Muda wa kuchezacheza kanisani umeshapita. Ni lazima tuwe na ujasiri na kuzishinda nguvu za kuzimu kwa jina la Yesu – Yeye peke yake ndiye nuru.

Mara kulitokea pepo lililoruka na kutupa mkuki kwangu ambao ulipita kwenye moyo wangu. Nilihisi maumivu yasiyoweza kuelezeka. Pia nilihisi kama vile kulikuwa kunanyesha salfa kule kuzimu. Nilihisi nyama ya mwili wangu inatoka kwenye mifupa na minyoo ikaanza kupekecha mifupa yangu.
 


Angalia huyu, unafikiri hii Dunia imeanza jana na Tundu Lisu?
 
We nawe unataka kuharibu ushahidi wa wenzio..haya umesoma wapi alilalia tumbo?? Tupe dodoso lolote linalosema alijigeuza akalalia tumbo
 
Angalia huyu, unafikiri hii Dunia imeanza jana na Tundu Lisu?
SANA, MNAOJITIA WACHUNGAJI, WATAWALA , WAHUBIRI ETC
Mateso ya kuzimu kwa ajili ya wachungaji, wahubiri, na wainjilisti watawala wanaoacha nguvu na upako wa Mungu ni makali zaidi kuliko yale ya roho zingine kule kuzimu! waliompiga Lisu risasi
 
S


Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Sasa mbona polisi ambao ni walinzi wa wananchi wote wamekimbilia kufunga jalada la uchunguzi? pia mmekataa uchunguzi huru?
 
Hilo tukio Zima Ni bongo movie Ni suala la muda ukweli haujawahi kufichika milele,30+ bullets kwenye short range halafu uishie kupigwa miguu!! Tena unaambiwa eti limepangwa na serikali,WTF! Of all hit men waliopo kwenye vikosi vya nchi hii watumwe vilaza WA kiwango hicho? It doesn't make sense!! Mngeshazika huyo jamaa yenu hata kama Mungu angekuwa upande wake siku hiyo! Labda siyo SMG ninayoijua Mimi.
 
Period inakusumbua
 
Inaonekana tumbo la Mwita Waitara Mwikabe ndilo linatumika kufikiri badala ya kichwa.

Vv
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Mbona polisi wanapata kigugumizi kulisemea hilo ambalo lina mwaka tangu litokee wakati yule mbwa ndani ya wiki walitolea taarifa.

Vv
 
Huyu Mwita Waitara alijuaje kuwa risasi zilitokea kushoto?

Ana sura ya ulevi ulevi flani
 
Mungu ni Mkubwa Lissu hakufa ukweli unatoka mchana kweupe
 
Kwamba wewe unataarifa sana kuliko waitara aliyekuwa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…