Mwita Waitara unajidhalilisha

Huyo ni wa kumpuuza. Yaani huwezi amini, mimi ni mmoja kati ya waliomuamini huyu jamaa na kumpa kura. Ila kwasasa imefikia kipindi, nikiona habari zake, napata kichefuchefu.

Hana sifa za kuwa mwanaume. Sijui kwanini hakuzaliwa mwanamke
Naangekua wakike ndio wale wanaotuzali majinga kama majitu ya lumumba.
 
Huyo ni wa kumpuuza. Yaani huwezi amini, mimi ni mmoja kati ya waliomuamini huyu jamaa na kumpa kura. Ila kwasasa imefikia kipindi, nikiona habari zake, napata kichefuchefu.

Hana sifa za kuwa mwanaume. Sijui kwanini hakuzaliwa mwanamke
Ipo siku Mungu ataweka wazi kila jambo liwe jema ama baya.
 
Hivi kweli kwa akili ya kawaida derive anae kaa upande wa kulia kwako kama anataka kukuua kwa bastola,aache kukupiga risasi ya kichwa aanze kukushambulia miguu na tumbo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kweli kwa akili ya kawaida derive anae kaa upande wa kulia kwako kama anataka kukuua kwa bastola,aache kukupiga risasi ya kichwa aanze kukushambulia miguu na tumbo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tatizo la mwita waitara ni njaa kupenya hadi kwenye Ubongo wake na kuishiwa maarifa kabakia kutengeneza Sinema za kuwahadaa wananchi pasipo kutafakari kwanza.
 
Imhotep, MISULI et Al, najua mmeamua Kujitoa UFAHAMU tu! Hivi Nani amesema silaha iliyotumika Ni SMG? Vipi Kama Ni Machine Gun yenyewe? Kwa taarifa yenu tu, RISASI zilizotolewa Hospitali zime reveal Ni Aina gani ya silaha iliyotumika, na kwamba silaha yenyewe huwezi ipata URAIANI! Ni suala la muda TU, mkidhani mpo hatua Moja 1 mbele, wenzenu wapo hatua 100 mbele yenu!
 
Waitara amejiidhalilisha sana ni Aibu kubwa kwa jamii
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Ingekuwa hivyo magu angefurahi sana angepata evidence ya kuwangefunga
 
Yeye ndio mwenye chuki cause baada ya kuhama anaanza kuropoka uzushi
Duh! Jamaa yaani anaogea kiasi kwamba hadi ccm wenyewe wanashidwa namna ya kumtetea
Sura ya Waitara ni kielelezo tosha kuwa CHADEMA walikuwa wanaishi na shetani
Sijui kalipwa kiasi mpaka anauvaa ushetani kwa kiwango hicho, ila kwa huu ushetani tunao uona ni za hili tuko katika utawala wa kishetani.
Nimewahi andika hapa kwamba ubora wa wanasiasa wetu uko chini sana. Siyo Waitara tu hata hao viongozi wa CHADEMA ni hayo hayo. Mkasa wa Lissu haukustahili kuwa ni mtaji wa kisiasa siku hadi siku. Kila leo Tundu Lissu. Usiku, mchana, Bungeni magazetini kote! Hovyo kabisa. Kwani Lissu ni sera ya maendeleo?

Kwa upande mwingine, kama anayoyasema Waitara kuhusu Mbowe na matumizi ya pesa za chama ndivyo yalivyo, basi ni kupotezeana muda na mambo ya siasa. Mbowe anatakiwa awatie imani wanachama wake kwa kueleza nini hasa anakifanya ndani ya chama. Hii itauwa CHADEMA. Huenda hajali maana atakuwa amepata pesa za kutosha lakini sisi kama wa-TZ atakuwa ametukosea kwa kiasi kikubwa sana, kututia matumaini ya kisiasa wakati lengo lake ni kujineemesha. Hii itadhihilisha ubovu wa wanasiasa na kuwaaminisha wananchi kwamba upinzani ni hivyo.

Ombi langu la mwisho; Tume ya uchaguzi puguza idadi ya majimbo ya uchaguzi. Hatuhitaji wansiasa wengi kiasi hicho.
 
Niliwahi kuandika humu, Ardhi ya Tanzania imeshaandika kumbukumbu ya jaribio la kumuua Mh.Tundu Lissu, haitatokea umma wa watanzania kusahau au kuamini vinginevyo zaidi ya CCM kupitia JOHN POMBE MAGUFULI kuhusika moja kwa moja kutaka kumuua Mwanasheria wetu kipenzi cha watu!
Damu iliyomwagika ya Mh.Lissu iko kwenye Paji la uso wa Magufuli na wale wote waliohusika kwa niaba ya Magufuli. Propaganda za kujaribu kujinusuru hazitafua dafu hata kidogo,hakuna aliyeweza kushindana na Mungu!
 
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!

Ukispoma comment nyengine kama za huyu hapa juu unapata kichefuchefu as if mtu hakwenda shule na hana uwezo wa kufikiri. Upupu huu huwa si usomi unachefua sana. mungu akupe IQ ili uone the big picture.
 
Muoh
Hili shambulizi walilipanga wenyewe ni inside job chadema na Tundu alikuwa sehemu ya mpango mzima na alijua lkn likaenda ndivyo sivyo yaani Mungu akawaumbua, lkn walitaka wafanye assasination attempt ili waishitumu Serikali yetu!
Muogope Mungu/ Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…