Whk is he?Huyu mtu ni mzima kichwani kweli? Who is he? Anajiona Mungu mtu siyo?
Mkuu rudi kwenye forex tuunatoa taarifa kwa nani JF ni mahakama?
Hao Polisi mnawatwisha kila mzigo wa lawama, ukisoma hilo bandiko hakuna Polisi anaweza kufanya kitendo kama hicho eti tu bendera ya Chadema imesimikwa. Acheni uzushiKatika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
Watakuwa na tofauti gani na wale mgambo waliopiga mtu nusura kumuua kisa usafi.Hao si wapokea amri tu kutoka CCMHao Polisi mnawatwisha kila mzigo wa lawama, ukisoma hilo bandiko hakuna Polisi anaweza kufanya kitendo kama hicho eti tu bendera ya Chadema imesimikwa. Acheni uzushi
Siku hizi kila anakoenda analindwa na msururu wa maafisa wa ulinziWaitara bado kijana mdogo sana Anashindwa kujifunza kupitia wenzie Nape na Nchembe, Kuna maisha baada ya Utawala huu
Taarifa kutoka Ukonga zinasema tangu alipojisalimisha CCM kwa tamaa zake nyumba yake inalindwa kwa saa 24 na AskariMie nilidhani habari hii inafuatiwa na taarifa kuwa Nyumba yake imechomwa moto au yeye kapewa kipigo mpaka kajinyea!
Acheni uzoba jamani! Hilo nalo LA kulalamikia badala ya kuchukua hatua?
Hivi hata kumpiga kipapai imeshindikana?Taarifa kutoka Ukonga zinasema tangu alipojisalimisha CCM kwa tamaa zake nyumba yake inalindwa kwa saa 24 na Askari
Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
Yeye mwenyewe nusura akatwe kichwa juzi , anacheza na wakurya wa ukongaDawa ni kutembeza kichapo kwa wapambe wa mwita waitara ili apate msg na yeye aache kutumia Polisi kuwapiga na kuwatesa Raia
Kulalamika kila siku ni ujinga, hivi hamkujui wanakoishi hao askari, kamata mke kamata mtoto piga kisu ya shingo ,kwani hao askari hawana moyo ikawauma? Endeleeni kulalamikaKatika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga