Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,722
Na pia wamekosesha mtoto wa watu mchumba kula Kisarawe. Chadema hawafai hawa! [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyingi moja ya Kairuki
Na pia wamekosesha mtoto wa watu mchumba kula Kisarawe. Chadema hawafai hawa! [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nyingi moja ya Kairuki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachafuzi sasa yule binti ataolewa ns nani? Huyo mtu hajipendi yeye asubiri mpaka 2025 ndiyo anaweza kuolewa na umri unamsubiriNa pia wamekosesha mtoto wa watu mchumba kula Kisarawe. Chadema hawafai hawa! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Polisi wanatumika vibaya lakini huyo wataita atambue kuwa huyo kijana aliyepigwa na Polisi ni binadamu na mungu yupo atamlipia kwa unyanyasaji aliofanyiwa na Polisi.Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
Mwita waitara ni mjinga na kilaza mkubwa hawezi kukumbuka alipotoka mpaka siku ataingia kwenye 18 wa wanaomfahamu na kumtia Adabuamesahau hata jinsi chadema ilivyomchangia pikipiki huku akiwa kapuku mzungu wa reli !
Ndicho kitafuata baadae kwani kipigo cha Polisi watavuna laana lakini wananchi lazima watampa za uso kwenye kura ingawa uchakachuaji utampa ushindi feki wa ubungeUtawala wa ma ' Sultani ndivyo ulivyo ,dawa ya Moto ni Moto kama vipi jaribuni ku'ballance kwa vibaraka wa Mwita ili tuende sawa.
Dawa ni kutembeza kichapo kwa wapambe wa mwita waitara ili apate msg na yeye aache kutumia Polisi kuwapiga na kuwatesa RaiaKama vipi kinuke tu , Waitara wala wazazi wake hawana haki yoyote ya kuondoa bendera za chadema mahali popote
Ni JIWE na amekuwa KICHAA Sasa.Yeye ni nan hasa?
Hao Polisi wanafuata tu maagizo toka juuWanao nishangaza ni hao polis waliovamia kijiwe na kumpiga msimika bendera