Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,081
- 285,698
tutaufanyia kazi ushauri wakoChadema wazee wa kulalamika tu, iko siku wake zenu watachukuliwa badala ya kupambana mtakuja huku jf kulalamika
tutaufanyia kazi ushauri wakoChadema wazee wa kulalamika tu, iko siku wake zenu watachukuliwa badala ya kupambana mtakuja huku jf kulalamika
amesahau hata jinsi chadema ilivyomchangia pikipiki huku akiwa kapuku mzungu wa reli !
inasemekana Waitara ni miongoni mwa wakurya wa 5 tu washamba kupitilizaPumbavu zake! Apelekeshe huko huko alikokimbilia! Shenzii sana huyo mwita
Chadema wazee wa kulalamika tu, iko siku wake zenu watachukuliwa badala ya kupambana mtakuja huku jf kulalamika
Siku hizi kutoa taarifa ni kulalamika?Chadema wazee wa kulalamika tu, iko siku wake zenu watachukuliwa badala ya kupambana mtakuja huku jf kulalamika
inasemekana Waitara ni miongoni mwa wakurya wa 5 tu washamba kupitiliza
unatoa taarifa kwa nani JF ni mahakama?Siku hizi kutoa taarifa ni kulalamika?
Endelea kulalamika iko siku mke wako akipigwa mimba na wahuni mtaani utakuja kulalamika hukuTumia kichwa kufikiri siyo unabeba tuu!
Siku hizi kutoa taarifa ni kulalamika?
Mwanahabari Huru katika ubora wake! Polisi wakikukamata kwenye ghasia hukutupa ndani ya gari haijalishi kama unaweza kutembea ama unatambaa. Hivyo basi kwa huyo kijana kubebwa kuingizwa ndani ya gari ni mabadiliko makubwa sana ndani ya jeshi la polisi; zamani angenyakuliwa na kutupwa ndani ya gari.Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
tena wewe ndio unaongoza kwa kulalamika huku JFtutaufanyia kazi ushauri wako
Nimejikuta nacheka mno..Duhamesahau hata jinsi chadema ilivyomchangia pikipiki huku akiwa kapuku mzungu wa reli !
mwanahabari huruAache ujinga
Huyo Molemo unayebishana naye si size yako kabisaaaaa ! utaangukia pua sasa hiviunatoa taarifa kwa nani JF ni mahakama?
Endelea kulalamika iko siku mke wako akipigwa mimba na wahuni mtaani utakuja kulalamika huku
Nilivyomwelewa huyo kijana kapigwa mpaka kashindwa kutembea.Mwanahabari Huru katika ubora wake! Polisi wakikukamata kwenye ghasia hukutupa ndani ya gari haijalishi kama unaweza kutembea ama unatambaa. Hivyo basi kwa huyo kijana kubebwa kuingizwa ndani ya gari ni mabadiliko makubwa sana ndani ya jeshi la polisi; zamani angenyakuliwa na kutupwa ndani ya gari.