Kama vipi kinuke tu , Waitara wala wazazi wake hawana haki yoyote ya kuondoa bendera za chadema mahali popote
Nyingi moja ya KairukiUnajua viongozi wa Chadema wamevunja ndoa za watu wangapi
Siletagi habari ya wongo mimi nimwandishi wa habari tunazingatia madiliYa kweli haya?
Mkuu unauhakika? Labda sio police ni watu wasiojulikana.Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
Atakuja kujuta Siku za usoni maana dunia inazunguka hii, kuna usiku na mchana na binadamu haaminikiSiletagi habari ya wongo mimi nimwandishi wa habari tunazingatia madili
Mtasonga mbele na goviHuyu anatuwakilisha tayari
Tunasonga mbele pleaseeee
Mwanaume aiye tahiriwa nishidaAache ujinga
Kazi kweli kweliKatika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mbunge wa Ukonga na kukimbilia CCM Mwita Waitara amepiga marufuku shughuli zozote za kisiasa za Chadema ikiwemo upeperushaji bendera zake katika eneo la Mwembeni Kivule Ukonga
Waitara amefanya hivyo katika kile anachodai ni eneo la mtaa ambako anaishi hivyo bendera za Chadema ni uchafu kwake.
Katika kutimiza hilo usiku wa kuamkia leo bendera zote za Chadema ziliondolewa katika mtaa huo.Ilipofika asubuhi vijana wa Chadema hawakufurahishwa na hali hiyo na kuamua kusimika bendera ya Chadema katika eneo wanapopaki bodaboda katika mtaa huo wa Mwembeni.
Mara tu baada ya kusimika bendera polisi walivamia mtaa huo na kuanza kutembeza kipigo kwa vijana wa Bodaboda na kumkamata kijana aliyeongoza zoezi la usimikaji wa bendera baada ya kumpa kipigo kikali karibu ya kuzimia.Kijana huyo anayeendesha bodaboda anafahamika kwa jina la *CHINGA* na alizolewa na bodaboda yake na kupelekwa kituo cha polisi Sitakishari Ukonga.Kijana huyo kwa jinsi alivyopigwa alibebwa kuingizwa kwenye gari kwa sababu alishindwa kupanda mwenyewe.
Wananchi kadhaa bila kujali itikadi za vyama wamekasirishwa na hali hiyo na kusema ni uonevu mkubwa huku wakilaani polisi kutumika kama vikaragosi kukandamiza upinzani
Kweli unatisha mkuu , kumbe uko kama Kabudi !Molemo ni debe tupu lisilokuwa na chochote ... elimu yake ya kuunga unga , atashindana na mimi mwenye PHD???
Mwisho wake ni 2020Waita anahisi kama yupo peponi.
Ndugu yangu waita upo ndani ya ccm, tulia tu upinge hela kelele za nini.
Kwa ccm hilo siyo jipyaNaona amejipa mamlaka ambayo hayapo sasa
Huna tofauti na muimba taarabuChadema wazee wa kulalamika tu, iko siku wake zenu watachukuliwa badala ya kupambana mtakuja huku jf kulalamika
Mie nilidhani habari hii inafuatiwa na taarifa kuwa Nyumba yake imechomwa moto au yeye kapewa kipigo mpaka kajinyea!Kama vipi kinuke tu , Waitara wala wazazi wake hawana haki yoyote ya kuondoa bendera za chadema mahali popote