Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.Uwe na akiba ya maneno hakuna adui wa kudum wala rfk wa milele muache mzee wawatu huna nidham
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.
Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
Mlitaka afanye vyombo vyake kama dialo?
Hata huyo Makoful ana akili na ataongozwa na weledi kwa kuwa mengi alikuwa fair.
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.
Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.Mlitaka afanye vyombo vyake kama dialo?
Hata huyo Makoful ana akili na ataongozwa na weledi kwa kuwa mengi alikuwa fair.
Uwe na akiba ya maneno hakuna adui wa kudum wala rfk wa milele muache mzee wawatu huna nidham
sijaona kosa la mengi kamwe...
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
Mwaka huu Mengi alishindwa na cloudstv