Mwisho wa ubaya aibu!

Mwisho wa ubaya aibu!

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
639
Reaction score
443
Aliye juu mngoje chini. Huyu mzee aliyebeba kikapu pichani kushoto enzi zake alikuwa ni mshauri mkubwa wa dikteta Mobutu wa Zaire kwa sasa inaitwa DR Congo.

Dikteta Mobutu alipinduliwa miaka zaidi 23 iliyopita. Sasa mzee ni ombaomba wa mitaani na hata Serikali haimuangalii kabisa.

Ukifanya ubaya na Mungu atakulipa ubaya. Ukifanya wema na Mungu atakulipa wema.

IMG_20200714_082439_074.JPG
 
Huu uzi sidhani kama unamuongelea huyu mzee au unatumia hadithi yake kupeleka ujumbe huko inakoenda pantoni.

sent from Samsung Galaxy A30
 
Sinaga show off ngojea nibebe kukapu niende benki kuweka mafwedha.
 
Back
Top Bottom