Mwisho wa Sport 24 HD

Mobdro ipo praystore?
 
Malafyale hiyo kwese ipo Intelsat 20 at 68.5 E pale ipo kwese free sports Epl mechi ya jumamosi saa 12 au 11 ndio anapochukulia TV1 pia wameongeza Kwese sport 1 katika Eutelsat 7A at 7 E pale wanarusha Copa del rey na serie B pia boxing juzi kati tena wame launch channel mpya Kwese sport 2 sijajua ipo satellite gani?
 
Mobdro ipo praystore?
Iliyopo play store sijawahi download maana kabla ya hapo haikuwepo play store,hivyo ilikuwa inapatikana ukidownload kwenye browser ya kawaida kama Google na kuinstall kama unknown source
 
wewe unaambiwa imefungwa unauliza unaipataje, hata ukiipata haikusaidii kitu maana ilishafungwa. wenzako tumeifaidi zaidi ya mwaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umerukia tren kwa mbele fuatilia mazungumzo vzuri
 
*PakSat 1R @38.East*

4004 V 15555 MPEG2/BISS

SID.0004 Key. F7E9 A7AB 1957 CDAB

Or Key. F7E9 A700 1957 CD00
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…