Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,251
RIM = Research in Motion, watengenezaji wa Blackberry.
RIM wametangaza hasara ya $518 Million.
Wanafukuza watu 5,000 kazi kupunguza gharama za uendeshaji.
BB10 simu mpya yenye OS mpya, ambayo ndo ilitakiwa iwarudishe katika ushindani wa Smartphones hasa katika soko la Marekani, wameshindwa kuizindua mwaka huu na sasa wanasema itatoka 2013, kutokana na maengineer kushindwa kukamilisha kazi ya kuiweka software sawa.
Mauzo ya BB yameshuka kutoka simu milioni 11 hadi millioni 8.
Thamani ya kampuni imeanguka kutoka Billioni $78 (2008) hadi Billioni $4, anguko la karibia %95!
Kuna uwezekano wa RIM kupona kweli?