Mkuu sina hofu ya kupata mwanamke hofu yangu Ngumu sana kumpata mwanamke mwenye vision kama yake,nadhani ndio maana hata jamaa kaamua kuoa japo (atakuwa ) sina hakika kajua alikuwa na mimi.
We jembe poli acha kufikiria kipolipoli...huyo ni kama mlikuwa na mkataba wa muda sasa umeisha unasubiri nn..na kama alikuwa amekupenda kweli asingeenda kule kwa jamaa mana kukaa miaka 3 kwenye mahusiano inamana huyo mtu mmeshibana..
Ila we uza hivyo vitu unua vingine kwa jina lako..ili badae isije leta shida kama ikitokea ametimuliwa huko anaweza Rudi kwako na kudai kwamba na yeye ni mmiliki