Nauza nanunua mahali pengine mkuuUza halafu ndio utaelewa huu ni usawa wa nani?
Pole saana mkuu..
Amen ..ahsante kwa ushauri wakoPole sana.......kama vipi uza halafu mgawane hela na kama hataki hizo hela zake peleka hata kwa watoto yatima au kwa wazee wasiojiweza, Mungu atakusaidia utapata mwingine zaidi yake
Inauma sana vile tumeishi hakika kilio nastahiliMatokeo ya kuchelewa chelewa hayo na suprise imegeuka kua kilio
Thenx mkuu acha tuMkuu achana nae fanya vitu vya maana tu kwa sasa🙄
Ahsante Kuyazoea maumivu ndio tatizo,Piga moyo konde, moyo utauma lakini baadae utapona tu. Bora amekupiga kibuti alfajiri hii kuliko ingekuwa mchana, jioni au usiku wakati ushamuoa na wototo pia mmejaliwa.
Ni kweli mkuu jifariji tu kwa kusema hakua kusudio la Mungu
Jina ni la kwangu kwenye makalatasi yote ila wazo alitoa yeye na pesa iliyoferi kwenye malipo japo ni Robo ya manunuzi alitoa yeye na si haba.kama mlinunua wote na yeye ameamua kukuachia sasa unataka kuviuza kwa nini? unless view na jina lake ila kama vina jina lako songa navyo mbele kwanza siku hizi wanunuaji wa viwanja na mali nyingine ni wachache sana. Hii awamu ngumu watu watakulalia mwisho wa siku utakosa mwana na maji ya moto (msemo wa wahenga). Usiuze mali tayari kakuachia endelea na maisha. Halafu siku nyingine ukipenda sio unapenda mazima weka akiba kidogo mtu kakwambia mpk muda mchumba wake anaorudi bado na wewe unaingia mazima. Pole muda utakuponya
Asante mkuu stress zitaisha nitakapoona hakuna kitu cha kunikumbusha uwepo wakeWewe usijeuza assets hizo, na jitahidi uzishinde stress
AhsantePole saana mkuu..
Piga moyo konde,songa mbele.huo ndo uwanaume.
Naamn hujachelewa saana,utapata mwngne mkal zaid yake.naamn hutojutia.
ThanxDown but not out.
Its better to have loved and lost than never to have loved.
Time will heal you.
Itachukua Mda sanaPole sana. Usijali utapata mwingine mzuri zaidi ya huyo
mkuu embu angalia hii statistics halafu unambie hofu yako ni nini?