Ngumu sana kuukubali ukweli lakini sio siri Roho inaniuma mno sio kwamba mwanamke yupo peke yake la hasha ila mwanamke bora kati ya wanawake Nae yumo.Shubamaaaaaat[emoji48][emoji48][emoji48] sasa kakuacha na alikwambia yupo kwenye mahusiano unataka nini?? Achana nae....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta wa kwako na um raise awe bora....acha kupenda vilivyotengenezwa tayari....Ngumu sana kuukubali ukweli lakini sio siri Roho inaniuma mno sio kwamba mwanamke yupo peke yake la hasha ila mwanamke bora kati ya wanawake Nae yumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gan?
Mkuu mipango ilikuwa miezi minne ijayo nianze taratibu za mahali japo sikumwambia nilipenda iwe kama suprise kwake.miaka yote hiyo kwanini hukumtolea posa??
Aah. ..Tafuta wa kwako na um raise awe bora....acha kupenda vilivyotengenezwa tayari....
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo ya kuchelewa chelewa hayo na suprise imegeuka kua kilioMkuu mipango ilikuwa miezi minne ijayo nianze taratibu za mahali japo sikumwambia nilipenda iwe kama suprise kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app