Mwisho wa ndoa umefika

Pombe unywe wewe kumfukuza umfukuze mkeo!!!!!!



Cc Smart911
Pombe sio kitu kizuri halafu nilishangaa sana maana sijawahi kuwa vile, lakini sikumfanyia fujo wala lolote baya, ila aliponishauri kuhusu pombe nadhani nilichomjibu hakikumfarahisha ndio tukakosa kuelewana.

Mambo yashaisha saivi tuko vizuri kwa sana.
Pombe sio kabisa.
 
Ila wajaruo mafundi kwenye bed
Sema nao wengine awajui kupika
 
 
Dah...Mimi MTU akiniambia tu habari ya kuacha pombe....hapohapo udugu/urafiki unakufa .... Eti niache pombe....halafu?....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…