Mwisho wa Mahusiano

Mwisho wa Mahusiano

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,988
Reaction score
168,517
Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Mwisho ndio kipimo cha mafanikio, wema, ubaya na kushindwa. Mwisho mwema ndio unaotusababishia tupate tuzo, mataji na zawadi mbalimbali. Mwisho mbaya unapelekea aibu, majonzi, lawama na kujilaumu.

Usiachane mwenzako kwa kumkomoa, hata kama umemchoka, tafuta namna nzuri ya kuongea naye. Tafuteni kuwa na amani na watu wote. Kuachana kwenu kusiwe mwisho wa urafiki wenu.



579213_589681551044924_1123867939_n.jpg

​
 
Sio wanaume pekee waumiao hata wanawake pia huumia sana kwa kuachwa lakini tatizo nini mpaka inafikia hapo?yatupasa tuwe tunakumbuka wapi tulipoanzia kabla ya kufikia muafaka huo


Naomba mnisaidie nifanye nini nifanye mume wangu atulie,sifanyi kazi,hataki nitoke,wala niwe na rafiki yoyote yule mpekuzi sana na hata matumizi binafsi kunipa ngumu nikiomba sina hela nikipata nitakupa nifanye nini?
 
Sio wanaume pekee waumiao
hata wanawake pia huumia sana kwa kuachwa lakini tatizo nini mpaka
inafikia hapo?yatupasa tuwe tunakumbuka wapi tulipoanzia kabla ya
kufikia muafaka huo


Naomba mnisaidie nifanye nini nifanye mume wangu atulie,sifanyi
kazi,hataki nitoke,wala niwe na rafiki yoyote yule mpekuzi sana na hata
matumizi binafsi kunipa ngumu nikiomba sina hela nikipata nitakupa
nifanye nini?

ni vema hili swali ukalianzishia uzi wake..
 
hammidah mumeo yuko possessed na mapepo wachafu mtafuta Zion Daughter amuombee
Sio wanaume pekee waumiao hata wanawake pia huumia sana kwa kuachwa lakini tatizo nini mpaka inafikia hapo?yatupasa tuwe tunakumbuka wapi tulipoanzia kabla ya kufikia muafaka huo


Naomba mnisaidie nifanye nini nifanye mume wangu atulie,sifanyi kazi,hataki nitoke,wala niwe na rafiki yoyote yule mpekuzi sana na hata matumizi binafsi kunipa ngumu nikiomba sina hela nikipata nitakupa nifanye nini?
 
Last edited by a moderator:
Hivi manapoachana si roho zenu zinakuwa apart?
Sasa kunaurafiki tena hapo?
 
thank you naona leo thread zimevaa sare zimeenda shule,kazi kwetu wasomaji.
 
Bujibuji, mi nabisha kuwa ni wanaume tu ndo wanaumia ktk kuvunjika kwa mahusiano.... @''kwa mujibu wa post yako'' ... hapa mi najaribu kutafuta upenyo wa kuwa singo boi walu kwa mwezi lakini nashindwa mpaka nawaonea wivu walioachika
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji, mi nabisha kuwa ni wanaume tu ndo wanaumia ktk kuvunjika kwa mahusiano.... @''kwa mujibu wa post yako'' ... hapa mi najaribu kutafuta upenyo wa kuwa singo boi walu kwa mwezi lakini nashindwa mpaka nawaonea wivu walioachika
Donn pole sana, naona umepata binti mvumilivu sana. Wahuni binti wa namna yako wanamuita KING'ANG'ANIZI
 
Last edited by a moderator:
dah...mi mpaka najutaga sometymz... najilaumu kilichonifanya ni make 1st move... but dah.. kuwa single ni burudani aisee ***** chako...
 
Back
Top Bottom