Mwisho wa kuchepuka wanawake

Watu ambao hawajaoa/kuolewa uwa mahodari wa kujifanya wanatoa ushauri kuhusu ndoa.
 
Mmmhhh! Yaani badala ya kukaa na kuwashauri wanaume wenzio jinsi ya kuwatosheleza wake zao wewe unashauri wanunue nyeti za bandia hivi mzima wewe?
nadhan hana uzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nacheka sana na hili neno LA wanaume wa Dar
 
Nani atumie madude yasiyopumua? Mmmh mi siweziiii kwakweli... Halijui hata kuniambia maneno ya uongooo?
Aiseeee hapo mimi TUUUUIIII
 
jangala kwa maelezo na ushauri wako, inaelekea umeingiza mzigo na unatafuta wateja. Good marketing technic mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…