Mwisho wa Joseph Kony wa Uganda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa Joseph Kony wa Uganda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdraze, Oct 15, 2011.

 1. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Taarifa kutoka pentagon Us rais Barrack Obama ametuma jeshi la watu mia moja kupambana na waasi wa kundi la lords resistance army(LRA) Kaskazin mwa uganda.Hii inaweza ikasaidia kuondoa waasi hao waliosumbua kwa muda mrefu..source Voa
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii inaweza kuwa hatua nzuri sana and I hope itawaondolea mateso watu wa Kaskazini hususan watoto mateso ya kusafiri usiku kwenda kulala kwenye centres maalum wakihofia kutekwa na majeshi ya Kony.

  Museven na majigambo yake amemshindwa Kony for all these years. Lakini cha ajabu anatamani kuwa rais wa Africa Mashariki! Kama ameshindwa kupambana na mtu mmoja -Joseph Kony atawezaji kupambana na wahalifu wa nchi 5 zinaziunda Jumuiya ya Africa Mashariki?
   
 3. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  USA wana akili sana, tanzania tungekuwa hiv tungekuwa mbali. Wanajua kutumia resources zao vizur kwa maslahi ya kwao, even to kill people. Yote hayo ni kwa ajiri ya mafuta. Hao wanajeshi hawaendi bure, kuna kitu kimejificha. Wait and see
   
 4. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  True that mkuu ameua sana na kubaka mi naona ni moja ya maamuzi mazuri kwa us ingawa hatujui kuna nini nyuma ya huo msaada!!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  It remains sad and disappointing that bado kuna some great thinkers wanaweza kuunga mkono ufedhuri huu, kaskazini mwa Uganda raia wanateswa na majeshi ya mseveni, watoto na akinamama hukusanywa kwenda kuzunguka vikosi vya jeshi ili kuviwekea shield leo hii members wanataka ku-fool ulimwengu kuwa jeshi liko pale kulinda wananchi?!, watanzania na baadhi ya waafrica hamjifunzi juu ya habari potofu zinazotolewa na media za kibeberu ili kuhalalisha ufedhuri wao?!. Tanzama hata Jonas Savimbi alinyimwa haki yake ya kushiriki katika serikali na wakaona zawadi inayomfaa ni kifo, vivyohivyo kwa Juvenali Habyarimana, Merichior ndandaye na Ntaryamila. All in all tunahitaji non spuriousness kwenye uchambuzi wa haya matatizo ya nchi za Africa. Natamani majeshi ya Pentagoni yashindwe kama yalivyoshindwa kule Ethiopia, iraq, pakistan na Afghanistan. Mungu ibarki africa na watu wake.
   
 6. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Nilidhani wanakuja kumtoa dikteta Museveni teh teh OSAMA BIN OBAMA.
   
 7. m

  mzambia JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mafuta basi hakuna kusaidia hapo
   
 8. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kutufundisha ila usitoe lawama sana ukishatufungua macho tutajilaumu wenyewe thanx
   
 9. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  My thinking ni kwamba M7 hawezi kumshindwa Konny ila ni kwamba anamtumia kama justification ya kununua silaha na kuendelea kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya 'maadui zake' wengine na kuhomola resources,si unajua hata ununuzi tu wa silaha ni deal!
  likewise kwa Mungiki kenya my thinking is the same! Kama Mabeberu wanavyowatumia al-shabab,alqaeda etc kujustify uvamizi wao na estblishment of military bases wherever they want even if in Dar. So, it is just replciation of what is happening in higher level is happening at M7's level as well.

  Katika dunia ya technologia ya almost kila kitu kwenye finger tips it will take very few days kuhakikisha kila mwanadamu anapata basic needs! Sembuse kuwamaliza hao maharamia wa kutengenezwa? It is only true commitment towards manumission of human being which is required to make this planet the safest and happiest place for human living.
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Marekani inaendaga kusaidia sehemu zenye mafuta tu?? what is behind their help to Uganda??
   
 11. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nakupa mia kwa hilo kwani jamaa wanajua kabisa pia tenda ya mafuta wamepewa hao wanenen sasa wanatakata kunyonya kwa utulivu museven anaakili angeweza wapa wachina mafuta kawapa wamarekani ili waje wampe pia mapesa ya kupolesha jeshi na vifaa subili jamaa atakuwa njema kijeshi kuliko nchi yoyo hapa kijeshi ebu subuli juzi kanunua ndege babu kubwa za kijeshi
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Pigia msitari
   
 13. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kony amekuwepo Uganda kwa miongo kadhaa lakini Marekani hawakufanya lolote. Sidhani kama kwa sasa Kony ni tatizo kubwa kwa Uganda na ukanda mzima wa Afrika Mashariki kushinda Al Shabab wa Somalia. Kama suala kubwa kwa Marekani ni amani mbona hao askari wasiwapeleke Somalia kusaidia Serikali ya mpito ya Somalia na vikosi vya AU vinavyoongozwa na askari kutoka Uganda

  Kubwa linalofanywa na Marekani kwa sasa ni kutuma hao makachero wake kwenda kufanya upelelezi kuhusu mafuta huko Uganda na Sudani ya Kusini na sio kumsaka Kony kama wanavyodai. Museveni na Serikali yako muwe makini yasije yakawakumba yaliyojiri kwa Ghadaffi
   
 14. rfjt

  rfjt Senior Member

  #14
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Marekani ni mroho sana wa rasilimali za wengine utadhani yeye hana hayo mafuta...udenda unawatoka kusikia Uganda na South Sudan kuna mafuta.
  Kama kweli ana lengo la kuwalinda wananchi wa Uganda dhidi ya Kony, muda wote wa zaidi ya miaka 20 walikuwa wapi?
  Wanafiki wakubwa wanasababisha machafuko kila mahali na kuifanya dunia kuwa si sehemu ya amani tena.
   
 15. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  There is no oil in Somalia, Granada, Djibout, Vietnam
   
 16. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii ni plan B mojawapo(baada ya ile war on terror) ya marekani kuweka MILITARY BASES east africa. hapa kutakuwa na secret contracts kati ya museven na USA. Na wakisha ingia hawatatoka(they will create another problems ili ku-justify uwepo wao huko uganda). NAONA HAPA KUNA KITU MUSEVEN AMEKUWA OFFERED.
   
 17. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Yani we hujui? Miaka yote watu wanateseka kwa kuuliwa,kuchomewa nyumba na wanawake kubakwa na jeshi la bwana kwa amrîkumi.Hakuna lolote sie sio mazuzu,wameconferm kuwa Uganda kuna mafuta sasa wanaingia kwa gia ya cony.Tanzania tutasukiwa letu ili tuchapane kwa kuwa kuna harufu ya mafuta Zanzibar.Aaah! Nimekumbuka! Sisi huwa tunapewa vijisenti tunaachia utajiri kwa wazungu. Watanzania jamani tuamke malizetu zinaporwa kweupeee!
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Lengo ni kuanzisha military bases huku East Africa,maana walitamani sana kwa muda mrefu....
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu Bornvilla, sisi huwa tuna hongwa suti...
   
 20. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi huwa sijui umuhimu African union(AU) joseph cony ameua watu kwa muda mrefu hatujawasikia wakijitolea majeshi kumusaidi mseven leo usa wanatoa wanajeshi kama kawa baadhi wa waafrika wanalalamika kuwa usa kuna kitu wanataka, mwaka jana joseph kawazamisha watoto 60 mtoni huyu jamaa hafai kabisa.
   
Loading...