Mwisho wa Here Maps kwenye Win/WP 10 na 8.1

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,627
2,457
Here maps wametangaza kuwa wataiondoa App yao isipatikane tena kwa watumiaji wa windows 10 na Windows Phone 10 na kama unayo tayari itaacha kufanya kazi.

Kwa wenye windows 8.1 itaendelea kufanya kazi ila haitaendelezwa, kwenda mbele watafocus kwenye iOS na Android tu.
 
window naona bado sana,nilitambua utabeba application zote,keyboard naitafuta sijaipata
 
Mkuu Kang kwanini Here maps wameamua kutoendelea na Microsoft?
Kwa kifupi watumiaji wa WP ni wachache sana so ni hasara kwao kutumia muda na hela kutengeneza software yao kwa ajili ya watu hao. Pia kuna dalili kuwa Microsoft wenyewe wanataka wachomoe kwenye mobile, ukiangalia jinsi wanavyotoa software zao (Microsoft) kuna wakati wanazitoa kwenye iPhone/Android kabla ya WP.
 
microsoft ananunua data za ramani toka here maps so windows/bing map inafanana kiasi fulani na here

na sidhani kama microsoft ana plan ya kuiacha windows phone sababu asingehangaika kutengeneza project kama islandwood na universal application. pia kuna rumors za surface phone.
 
Back
Top Bottom