Habari waungwana.
Hivi kufuatana na taarifa za ki-intelejensia Ghadafi anaweza kweli kuswali swala ya Ijumaa ndani ya Ikulu wiki hili? Au mwisho wake ndo umekamilika?
Naombeni mchango wenu tafadhali
IGP bado hajatushirikisha taarifa hizo , akizitoa tutaelewaHabari waungwana.
Hivi kufuatana na taarifa za ki-intelejensia Ghadafi anaweza kweli kuswali swala ya Ijumaa ndani ya Ikulu wiki hili? Au mwisho wake ndo umekamilika?
Naombeni mchango wenu tafadhali
Amesema Don't listen to those Media Dogs!! yuko tuli na kimwamvuli chake ndani ya kicab, sio limousine kama rais wenu!!!
si nasikia kasepa, kakimbilia kwa yule chizi wa venezuela...yaani kiburi choote cha gadafi kile kimefyekwa mkia...hahaha, jamani jamani, nguvu ya uma ni balaa.hapo ndo nimechoka. yaani hata ukilenga unakodhani yuko humpati. kile kicab ni kama ki pegeout 504
hapo ndo nimechoka. yaani hata ukilenga unakodhani yuko humpati. kile kicab ni kama ki pegeout 504
si nasikia kasepa, kakimbilia kwa yule chizi wa venezuela...yaani kiburi choote cha gadafi kile kimefyekwa mkia...hahaha, jamani jamani, nguvu ya uma ni balaa.
ona hizo mbili,amua mwenyewe.aah kile kicab yaani mimi hata nilikuwa siamini macho yangu, kuna uwezekano ikawa imechukuliwa na kuwa edited ili kuwa zuga watu.
lol eti anasema kuwa alitaka kuwasupport wanaomtetea kisa mvua ndio issue..lol hilo lilikuwa ni chnaga la moto inawezekana akawa ameshakimbia, kwa nini yeye akiwa raisi anashindwa kuongea na badala yake anamwachi mtoto wake?
siku zingine mbona huwa ni wa kwanza kuongea?
Ghadafi ameifanyia mabo mengi makubwa Libya i have been there several times watu wanaishi maisha mazuri sana ni nchi nzuri ina barabara kubwa sana na pana, mitaa misafi imepangika, hakuna shida ya maji , matibabu bure tena kwa kiwango cha juu sana, watu wanaishi salama, na ukiwa na umri wa miaka 21 marufuku kukaa kwa mama/baba ama kwa shangazi!!
Elimu ni bure from primary to university na hakuna mkopo, nyie acheni bana hawa watu wa C.I.A ndio wanazusha ujinga eti ghadaffi amekimbia haendi kokote yule ni kamanda wa ukweli na anaipenda nchi yake na Afrika pia....
Nyie hapo Dar mna maji? barabara zikoje? elimu na afya?!! ni kituko cha karne hata hamwezi kusema loh