wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
hapa Vruuuuuum....napita tu kwa kasi....View attachment 171613
hiYo kali
hapa Vruuuuuum....napita tu kwa kasi....View attachment 171613
halafu wewe utie nini mkuu??? je wewe unaishi sayari gani?,mambo mengine bwana ni shida yaani uhasama wa kisiasa hata mahali ambapo sio pake.Iwe hata kesho ili ccm watie akili.
Hilo ni tamko la freemason au ni utafiti wa kisayansi???
Umejitaidi maana utawafanya watu waokoke
Hayo yakitokea nitakuwa kwenye Meditation, hivyo hakutakuwa namadhara kwangu!
id yako imenikumbsha mengi na coment yako imenikumbusha umuhmu wa iyo kitu
id imekukumbusha nini white frank mhiro?. Kumediate kunafaida nyingi sana, ukiielewa vyema unakuwa mbali nahuo utabiri wao na unaishi maisha yafuraha tele!
Iwe hata kesho ili ccm watie akili.
Planet X au Nibiru was supposed to corride with palnet Earth by Dec 21 2012, ilishakuja na kupita and it take more than miaka 3200 kurudi tena. There is no such threat from Nibiru labda kama kuna Near Earth Object (NEO) nyingine zaidi ya Nibiru.
We are safe more than you understand, nothing will corride with Earth as everything is being monitored by a team of scienticist in various places in the world, although wanakubali sometimes assessment zao sio conclusive kwa mfano last year December 21 kuna NEO ilitua maeneo ya Russia, haikuleta madhara makubwa ilivunja vioo vya nyumba tu na kuchoma moto in some places, hawakuiona hiyo mpaka baada ya kuingia kwenye anga la dunia
Ccm walaumiwe kwa hili.
Wamedhulumu na kuua kwa kias kikubwa,hasira ya Mungu na iwakejuu ya ccm,waadhibiwe haswa