Mwisho wa dunia: Freemason watoa tamko

Mwisho wa dunia: Freemason watoa tamko

Ulipost Bila.kujuaa au Ulijua kuwa Unapost pumba ukazuga kama ujajua vile. Kuwa ni pumba napost....dah mnakurupukaa sanaa
 
kuna kibabu kimoja kilijitangaza sana kupitia cnn,bbc nk kuwa mwisho wadunia ni tareh 10 october 2010 saa 10 jioni, watu tulikaa weee,watu tulisali sala za mwisho wee,kumbe danganya toto.
 
Hahaha kweli watu wamekosa kazi hakika....kama ndege ya Malaysia imewashinda kupatikana ndio wajisumbue na mwisho wa sayari ya tatu ilihali mwanzo wake hawaujui??!!
 
Bora ifike hyo cku tukose wote maana tunanyanyasana sana
 
Ccm walaumiwe kwa hili.
Wamedhulumu na kuua kwa kias kikubwa,hasira ya Mungu na iwakejuu ya ccm,waadhibiwe haswa
 
Mbona silioni tamko la freemason?
end-of-the-world.jpg



WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,

sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.

ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili.

DALILI KWAMBA IPO JIRANI
Taarifa zaidi za kisayansi zinasema kuwa, kadiri sayari hiyo inavyozidi kusogea, dunia itaanza kutikisika na kusababisha matetemeko ya ardhi kuongezeka sehemu mbalimbali. Mbali na dunia kutikisika na matetemeko, milipuko ya volcano nayo itatokea huku idadi kubwa ya milipuko hiyo mipya ikiongezeka, vimbunga vikubwa kama Tsunami vitaibuka na mwishowe dunia itapigwa na bomu la miamba midogo na vimondo kutokea angani.

DUNIA ITAKUMBWA NA GIZA NENE
Wakati volcano zote duniani zitakapoanza kulipuka na zingine mpya kujitokeza, dunia itafunikwa na giza nene na matope kwa wakati wote wa usiku na mchana huku watu wakitakiwa kusoma katika Biblia Joel 2: 1-2 na Zephaniah 1:14-17. NI TUKIO LA AINA YAKE KARNE YA 21
 
Planet X au Nibiru was supposed to corride with palnet Earth by Dec 21 2012, ilishakuja na kupita and it take more than miaka 3200 kurudi tena. There is no such threat from Nibiru labda kama kuna Near Earth Object (NEO) nyingine zaidi ya Nibiru.

We are safe more than you understand, nothing will corride with Earth as everything is being monitored by a team of scienticist in various places in the world, although wanakubali sometimes assessment zao sio conclusive kwa mfano last year December 21 kuna NEO ilitua maeneo ya Russia, haikuleta madhara makubwa ilivunja vioo vya nyumba tu na kuchoma moto in some places, hawakuiona hiyo mpaka baada ya kuingia kwenye anga la dunia

Ulikua unataka kusema nini hapo kwenye red.
 
Planet X au Nibiru was supposed to corride with palnet Earth by Dec 21 2012, ilishakuja na kupita and it take more than miaka 3200 kurudi tena. There is no such threat from Nibiru labda kama kuna Near Earth Object (NEO) nyingine zaidi ya Nibiru.

We are safe more than you understand, nothing will corride with Earth as everything is being monitored by a team of scienticist in various places in the world, although wanakubali sometimes assessment zao sio conclusive kwa mfano last year December 21 kuna NEO ilitua maeneo ya Russia, haikuleta madhara makubwa ilivunja vioo vya nyumba tu na kuchoma moto in some places, hawakuiona hiyo mpaka baada ya kuingia kwenye anga la dunia
Kha! Aisee wewe ni wa wapi?
 
Weka Pembeni uwwongo wa hapo juu...hakuna anaejua kuhusu lini kiama kitakuja..

79:42to top

79_42.png
Sahih International
They ask you, [O Muhammad], about the Hour: when is its arrival?

Swahili
Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini?

79_43.png
Sahih International
In what [position] are you that you should mention it?

Swahili
Una nini wewe hata uitaje?


79:44to top

79_44.png
Sahih International
To your Lord is its finality.

Swahili
Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake.


79:45to top

79_45.png
Sahih International
You are only a warner for those who fear it.

Swahili
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu.


79:46to top

79_46.png
Sahih International
It will be, on the Day they see it, as though they had not remained [in the world] except for an afternoon or a morning thereof.

Swahili
Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo Saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake.



 
technichally elezea kwanini eruptions and the like ziwepo. this is purely illusion. lets go on enjoying. NO CONTROL FOR GOD'S WISHES.
 
Upuuzi huu,kwani wao ndo waumbaji wa ulimwengu? kifo bwana hata leo Muumba anaweza akaamua na tukapotea na si eti mpaka hawa wahuni waje na proposal zao za kichawi
 
Inanikumbusha wale masalia walienda airport wanataka kusafiri bila Kuwa hata na passport wala nauli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom