Mwisho wa dunia: Freemason watoa tamko

Mwisho wa dunia: Freemason watoa tamko

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
9,739
Reaction score
4,745
end-of-the-world.jpg



WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,

sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.

ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili.

DALILI KWAMBA IPO JIRANI
Taarifa zaidi za kisayansi zinasema kuwa, kadiri sayari hiyo inavyozidi kusogea, dunia itaanza kutikisika na kusababisha matetemeko ya ardhi kuongezeka sehemu mbalimbali. Mbali na dunia kutikisika na matetemeko, milipuko ya volcano nayo itatokea huku idadi kubwa ya milipuko hiyo mipya ikiongezeka, vimbunga vikubwa kama Tsunami vitaibuka na mwishowe dunia itapigwa na bomu la miamba midogo na vimondo kutokea angani.

DUNIA ITAKUMBWA NA GIZA NENE
Wakati volcano zote duniani zitakapoanza kulipuka na zingine mpya kujitokeza, dunia itafunikwa na giza nene na matope kwa wakati wote wa usiku na mchana huku watu wakitakiwa kusoma katika Biblia Joel 2: 1-2 na Zephaniah 1:14-17. NI TUKIO LA AINA YAKE KARNE YA 21
 
i've learnt a lot of stuff about nibiru and the end of world.whether it's true or not,what i know one day by any means necessary i shall die.diamonds are not forever.period.
 
kama mwanzo wenyewe huujui sembuse mwisho! mfyuuuu weiter hebu ongeza 'yohana mtembezi' ingine tena ile ya lebo nyekundu.
 
Nakumbuka enzi za Y2K,,,Ha ha dunia ina visa sana hii.
 
Who do you think masons are? gods?
Hillarious! :angry:
 
Nina mpango,wa kutoa tamko pia, sijajua kuhusu nini.

Sijui ukoje!!!!?????

Topic; Sasa kama italeta giza wakati huo jua "litazimwa kwa swichi gani"!!!!!?????
Makombora yooote ya ICBM Haya yanasubiri nini kuipasua hiyo kitu kabla haijatufikia???!!!!

Yaani utadhani enzi za ujima mtu anajua kuna kiba ila hana jinsi ya kupata viatu?????!!!!!
 
we ndugu baada ya kujiandaa na mwisho wa dunia unakuja kutupigia kelele huku
 
Planet X au Nibiru was supposed to corride with palnet Earth by Dec 21 2012, ilishakuja na kupita and it take more than miaka 3200 kurudi tena. There is no such threat from Nibiru labda kama kuna Near Earth Object (NEO) nyingine zaidi ya Nibiru.

We are safe more than you understand, nothing will corride with Earth as everything is being monitored by a team of scienticist in various places in the world, although wanakubali sometimes assessment zao sio conclusive kwa mfano last year December 21 kuna NEO ilitua maeneo ya Russia, haikuleta madhara makubwa ilivunja vioo vya nyumba tu na kuchoma moto in some places, hawakuiona hiyo mpaka baada ya kuingia kwenye anga la dunia
 
dah,jameni hata ujana bado sijaula!! wastufanyie hivo bana, huu utakua uongo bana mwisho wa dunia ni siku utakapokufa ndo utakua mwisho wako wa kuiona dunia.

hapa bata ndo "mpango mpangongo", huo mwisho watakufa wenyewe fmason.. watu tupo kwenye harakat za kutafuta masters afu unatuambia kesho ndo mwisho wa dunia kirahis rahis tu?
kasaloo
 
Last edited by a moderator:
end-of-the-world.jpg



WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,
sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea. ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili. DALILI KWAMBA IPO JIRANI
Taarifa zaidi za kisayansi zinasema kuwa, kadiri sayari hiyo inavyozidi kusogea, dunia itaanza kutikisika na kusababisha matetemeko ya ardhi kuongezeka sehemu mbalimbali. Mbali na dunia kutikisika na matetemeko, milipuko ya volcano nayo itatokea huku idadi kubwa ya milipuko hiyo mipya ikiongezeka, vimbunga vikubwa kama Tsunami vitaibuka na mwishowe dunia itapigwa na bomu la miamba midogo na vimondo kutokea angani. DUNIA ITAKUMBWA NA GIZA NENE
Wakati volcano zote duniani zitakapoanza kulipuka na zingine mpya kujitokeza, dunia itafunikwa na giza nene na matope kwa wakati wote wa usiku na mchana huku watu wakitakiwa kusoma katika Biblia Joel 2: 1-2 na Zephaniah 1:14-17. NI TUKIO LA AINA YAKE KARNE YA 21





Naona kama dalili zake ni hizi hapa japo haijakaa ki freemason kama mada inavyosema

https://uk.news.yahoo.com/end-world-crater-mystery-siberia-201900198.html#f0ukmSW
 
akili zingine bana, ni heri hata kobe huficha tu kichwa chake, lakini hii inahitaji kukata kabisa kichwa ndiyo uweze kufikiri jinsi hii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom