Mwisho wa dunia 2032/August/26

Mwisho wa dunia 2032/August/26

There is saying "once u tell the future, u change it"....yaweza kuwa kweli ila karibu mara zote mabadiliko hutokea ukiangalia tabiri za hali ya hewa nk...so hopefully.....

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Watu wanatumia Billlions of Dollars kufanya hayo mauchunguzi

Wengine mnabisha bisha ilhali hamjatumia hata Shs 10/=

Source:No research no right to say!
 
3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia? 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. 6 Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado. 7 Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali. 8 Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu. 9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana. 11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. 13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka. 14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. 15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu), 16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani; 17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake; 18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. 19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo! 20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. 21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe. 22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo. 23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. 25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. 26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. 27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 28 Kwa kuwa po pote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. 29 Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika; 30 ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. 31 Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu. 32 Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu; 33 nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni. 34 Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. 35 Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 38 Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, 39 wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 40 Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; 41 wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa. 42 Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. 43 Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. 44 Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.
Mathayo 24
 
Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.

Crimean Astrophysical Observatory wamegundua kimondo kikubwa kiitwacho 2013 TV135, weekend iliyopita na tayari jumuiya ya kimataifa ya wanasayansi imekielezea kama moja ya vimondo hatari kabisa kuwahi kugunduliwa angani.

Hata hivyo, bado, uwezekano wa kitu hicho kuiponda dunia ni mdogo na hivyo kuna asilimia 99.9984 za maisha kuendelea kama kawaida. Kama kimondo hicho kikiikosa dunia, kina uwezekano wa kupita ndani ya maili milioni 1 za mzingo (orbit) wa sayari hiyo.

Kama 2013 TV135 ikigongana na dunia kinakadiriwa kuzalisha megatons 2,500 za mlipuko.

Hata hivyo kimondo hicho ni kidogo kuliko kitu kilichoiponda dunia na kuwaua wanyama wa zamani aina ya dinosaurs miaka milioni 65 iliyopita. Kimondo hicho kilikuwa na upanda wa maili 6.

Kimondo hicho kitakuwa kimesogea zaidi mwaka 2024, na hivyo kuwaruhusu wanasayansi kuuchambua mzingo wake na wapi kitaangukia. Hadi sasa, kimondo cha 2007 VK184 ndicho kinaaminika kuwa na nafasi ya kuiponda dunia.

Kimondo hicho chenye upana wa futi 420 kitakutana na dunia mwaka 2048.

wanasayansi kila siku wanatudanganya kila siku soma yangu Biology A-Level mpaka University level nimefundishwa chapter ya regulation na swali tamu sana ktk hii chapter linahusu hapo kwenye RED ambapo wanakuuliza Explain why Dinosaurs became extinct?

ANSWER
Dinosaurs ni Reptiles na waliosoma Homoistasis/Regulation walau Form 3 wanajua fika kuwa Reptiles ni Poikilotherms a.k.a wanyama wenye damu baridi(Standard 7 myth) na tabia ya poikilotherms ni kwamba they are unable to maintain the Internal Body temperature unlike mammals e.g Human body Temperature is 37[SUP]0 [/SUP] C

The point comes sasa kwa nn Dinosaria walipotea Jibu ni kuwa Those past million years there was High/Extreme temperatures na Kwa kuwa Reptiles wanakuwa affected na External Environment e.g mjusi kuota jua(basking) basi Body temperature iliongeza kuzidi Optimum Temperature for Enzymatic Reactions ndani ya Dinosauria kuweza kuendeleaa\
Above all Large Organisms(watu wanene) are usually affected highly na high temperature ukillinganisha na watu webamba hivo hivo kwa Dinosauria ukilinganisha na mijusi ya kawaida

Hivo jua kuwa Dinosauria hawakuuwawa na kimondo kwa njia hiyo labda kama hicho kimondo ndo kilichangia High Temepature
 
mkuu mi navojua mwisho wa dunia ni pale mtu anapofariki pale ndo inakuwa cku ya mwisho duniani kwake! hizo habari za kuwa mwisho wa dunia cjui lini meanza kuzickia wakitar vizee na vkongwe hukooo lakiniii holaaaa! NOT A BELIEVER
 
Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.

Crimean Astrophysical Observatory wamegundua kimondo kikubwa kiitwacho 2013 TV135, weekend iliyopita na tayari jumuiya ya kimataifa ya wanasayansi imekielezea kama moja ya vimondo hatari kabisa kuwahi kugunduliwa angani.

Hata hivyo, bado, uwezekano wa kitu hicho kuiponda dunia ni mdogo na hivyo kuna asilimia 99.9984 za maisha kuendelea kama kawaida. Kama kimondo hicho kikiikosa dunia, kina uwezekano wa kupita ndani ya maili milioni 1 za mzingo (orbit) wa sayari hiyo.

Kama 2013 TV135 ikigongana na dunia kinakadiriwa kuzalisha megatons 2,500 za mlipuko.

Hata hivyo kimondo hicho ni kidogo kuliko kitu kilichoiponda dunia na kuwaua wanyama wa zamani aina ya dinosaurs miaka milioni 65 iliyopita. Kimondo hicho kilikuwa na upanda wa maili 6.

Kimondo hicho kitakuwa kimesogea zaidi mwaka 2024, na hivyo kuwaruhusu wanasayansi kuuchambua mzingo wake na wapi kitaangukia. Hadi sasa, kimondo cha 2007 VK184 ndicho kinaaminika kuwa na nafasi ya kuiponda dunia.

Kimondo hicho chenye upana wa futi 420 kitakutana na dunia mwaka 2048.
Ugumu wa maisha ndio unapelekea watu wawaze na kuleta stori kama hizi!!! walisema mwaka 2012 ndio mwisho sasa leo tena 2048!!!! haya sisi wala wao hatujui ajuaye ni mmoja tu!!! nae ni MUNGU!!
 
mkuu mi navojua mwisho wa dunia ni pale mtu anapofariki pale ndo inakuwa cku ya mwisho duniani kwake! Hizo habari za kuwa mwisho wa dunia cjui lini meanza kuzickia wakitar vizee na vkongwe hukooo lakiniii holaaaa! not a believer

be a believer
 
Back
Top Bottom