Mwisho wa dunia 2032/August/26

Mwisho wa dunia 2032/August/26

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.

Crimean Astrophysical Observatory wamegundua kimondo kikubwa kiitwacho 2013 TV135, weekend iliyopita na tayari jumuiya ya kimataifa ya wanasayansi imekielezea kama moja ya vimondo hatari kabisa kuwahi kugunduliwa angani.

Hata hivyo, bado, uwezekano wa kitu hicho kuiponda dunia ni mdogo na hivyo kuna asilimia 99.9984 za maisha kuendelea kama kawaida. Kama kimondo hicho kikiikosa dunia, kina uwezekano wa kupita ndani ya maili milioni 1 za mzingo (orbit) wa sayari hiyo.

Kama 2013 TV135 ikigongana na dunia kinakadiriwa kuzalisha megatons 2,500 za mlipuko.

Hata hivyo kimondo hicho ni kidogo kuliko kitu kilichoiponda dunia na kuwaua wanyama wa zamani aina ya dinosaurs miaka milioni 65 iliyopita. Kimondo hicho kilikuwa na upanda wa maili 6.

Kimondo hicho kitakuwa kimesogea zaidi mwaka 2024, na hivyo kuwaruhusu wanasayansi kuuchambua mzingo wake na wapi kitaangukia. Hadi sasa, kimondo cha 2007 VK184 ndicho kinaaminika kuwa na nafasi ya kuiponda dunia.

Kimondo hicho chenye upana wa futi 420 kitakutana na dunia mwaka 2048.
 
Haaa hizo story tu wanajifanya watabiri lakini katu hautimii dunia itaisha pale tu Mungu akpenda
 
naomba mungu niwe hai ili nishuhudie hayo mambo kama yanaukweli wwte ndan yake..
 
Hakuna ajuaye siku wala saa ya mwisho wa dunia isipokuwa Baba yetu wa Mbinguni.
 
Heri hawa wanaofanya surgery na wale wanaotengeneza umeme and the like
 
another funny story yet to make headlines..
 
Kimondo kinaweza kulipuliwa kwa makombora kabla hakijaipiga dunia.
 
Sasa ile ya Mayan 2012 wameona haijatokea wameona bora sasa walete nyengine?
 
article-2465563-18CEC68100000578-918_634x378.jpg

The 1,300-foot-wide asteroid 2013 TV135 has a 1 in 63,000 chance of striking the earth in 19 years, scientists have revealed

The newly discovered asteroid made a close approach to Earth on September 16, when it came within about 4.2 million miles (6.7 million kilometers) of the planet.

It is initially estimated to be about 1,300 feet (400 meters) in size and its orbit carries it as far out as about three quarters of the distance to Jupiter's orbit and as close to the sun as Earth's orbit.

article-2465563-18D31A5E00000578-705_634x349.jpg

This diagram shows the orbit of asteroid 2013 TV135 (in blue), which has just a one-in-63,000 chance of impacting Earth. Its risk to Earth will likely be further downgraded as scientists continue their investigations

article-2465563-18CEDF9F00000578-537_634x597.jpg

Massive: The asteroid would strike with 2,500megatons of explosive force, enough to create damage within a 100,000 square-mile radius. (Blast location for illustrative purposes only)
 
Ishi kwa amani ndugu.... hizo habari za mwisho wa Dunia zilianza toka enzi hizo... kila siku wanabaki kusogeza tarehe tu.. Mwisho wa Dunia ya wezekana ukawepo kwa natural Disaster Ila si leo wala kesho. Kuna sababu nyingi zinazoweza kuiondoa Solar system yetu (Sio Dunia tu), Mfano ni Neutron Star - Hii ikipita tu jirani inanyonya sayari na kusambaratisha kabisa. Lakini tangu kuumbwa kwa Dunia hakuna Neutron star iliyosogelea solar system yetu. Kuwa na amani
 
Dunia tunayoishi, inaweza kufikia mwisho wake August 26, 2032. Kwa mujibu wa wanajimu wa Ukraine, kimondo chenye upana wa futi 1,300 kinakuja kwa uelekeo wa duniani na kinaweza kuiponda dunia kikiwa na nguvu kubwa ya nuclear.

Crimean Astrophysical Observatory wamegundua kimondo kikubwa kiitwacho 2013 TV135, weekend iliyopita na tayari jumuiya ya kimataifa ya wanasayansi imekielezea kama moja ya vimondo hatari kabisa kuwahi kugunduliwa angani.

Hata hivyo, bado, uwezekano wa kitu hicho kuiponda dunia ni mdogo na hivyo kuna asilimia 99.9984 za maisha kuendelea kama kawaida. Kama kimondo hicho kikiikosa dunia, kina uwezekano wa kupita ndani ya maili milioni 1 za mzingo (orbit) wa sayari hiyo.

Kama 2013 TV135 ikigongana na dunia kinakadiriwa kuzalisha megatons 2,500 za mlipuko.

Hata hivyo kimondo hicho ni kidogo kuliko kitu kilichoiponda dunia na kuwaua wanyama wa zamani aina ya dinosaurs miaka milioni 65 iliyopita. Kimondo hicho kilikuwa na upanda wa maili 6.

Kimondo hicho kitakuwa kimesogea zaidi mwaka 2024, na hivyo kuwaruhusu wanasayansi kuuchambua mzingo wake na wapi kitaangukia. Hadi sasa, kimondo cha 2007 VK184 ndicho kinaaminika kuwa na nafasi ya kuiponda dunia.

Kimondo hicho chenye upana wa futi 420 kitakutana na dunia mwaka 2048.

Yaani probability ya occurence ni 0.000001%?????? Ni almost impossible aisee!!!!
 
False prophet. Na bado watakuja wengi. Ule mwisho hauji mpaka injili ihubiriwe kwa kila kiumbe kwa ushuhuda.
 
wanasayansi wa siku hizi wengi ni wahuni wa mitaani wanaooketeza uongo na kututupia tuamini kwa jina la sayansi
 
Back
Top Bottom