DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,015
- 45,545
Subiri uone kama Chadema itakufaTunataka chama cha upinzani cha kizalendo km Nccr mageuzi Sio hawa Chadema wanaowaabudu Mabeberu
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Tatizo la wananchi halisababishwi na ccm wala chadema,tatizo ni fikra mfu ya viongozi wa hivyo vyama kiasi cha kutumia maguvu na ubabe kwa kutokuwa na maono.maana waneni husema debe tupu haliachi kutika.Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Umesahau tetemeko, ko hapa unapost ujinga. Nenda kahudumie ndugu zako na tetemekoKama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Umesahau tetemeko, ko hapa unapost ujinga. Nenda kahudumie ndugu zako na tetemeko
chadema inajiua yenyewe wala hakuna mtu wa kuia chadema.Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
chadema inajiua yenyewe wala hakuna mtu wa kuia chadema.
mfano mzuri ni mbowe kuwachangisha wabunge wake fedha kwa ajili ya familia yake.mbowe kala pesa alozopewa na lowasa peke yake na mambo mengine
baada ya bunge kuvunjwa kuna viongozi wengi mno wa chadema watahama maana wamechoshwa na uhuni wa mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia rahisi isiyo gharama ya kuuwa upinzani ni kutenda vipaumbele vya wananchi na sio vipaumbele vya watawalaKama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Ushahidi upo wazi tu.mwenye akili ndogo kama wewe huwezi ona.Unapashwa kuongea vitu kwa evidence sio kubwabwaja mkuu yaani mtu akiwa ccm automatically kichwa kinashake ,,sasa we lini na wapi uliona kuwa Lowassa katoa pesa chadema au kwa Mbowe km si kubwabwaja
Hiyo nisawa namtu aseme kuwa Magufuli alimpa mimba Angera kailuki. Alafu wajinga wa ccm mnaamini .
mbona povu,,,,nini kwani,twende taratibu.Ushahidi upo wazi tu.mwenye akili ndogo kama wewe huwezi ona.
2021 mbowe atakapo amia rasmi ccm atapewa ofisi ya hazina ya chama.yeye si mpenda pesa atapewa mali za chama za ccm alee mpaka achoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote uliyoandika 👍isipokuwa avatar yako tu ndio inachefua.Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.