Mwisho wa CHADEMA ndiyo huu hapa bila kumtafuta mchawi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,529
43,988
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
 
unadhan basi shida ni chama cha kusumbua? shida yetu maendeleo na mtu atakaesimama kwa weledi kama JPM: siasa za chadema hazina kichwa wala mkia, yaani ukiwauliza kwann wanafanya siasa jibu lao ni moja kuingoa ccm madarakani, haya mshaingoa whats next? dira ipi inaowatambulisha? sisi tunapenda chadema iwepo tu kwa ajili ya amsha amsha lakini sasa mkifanya izo amsha amsha kwa weledi bila kuleta chuki, na mkawa mnahoja zenye mashiko whynot tusiwapende ila sasa hatuwaelewi tunataman kue na siasa za hoja, ingawa kuna mapungufu ccm ambayo sasa chadema wangeyatumia kujiboresha sasa wao ni hovyo zaidi ya hata hawa ccm
 
Wkt wote ccm wanafikria vyeo vyao hawako kuachia madaraka kwa wengine.....Hata hoja binafsi ambayo Mlinga amekusudia kuileta bungeni kuhusu umri wa kustaafu kwa lazima uwe miaka 50 ccm watapinga maana hawataki kuachia nafasi......

Mchawi wa nchi hii hawajawahi kuwa mabebneru maana mabeberu wanazawadiwa mikataba na ccm hata magufuli kawazawadia mikataba ya ndege kwa siri yaani ccm ni mrija wa kuikamua nchi....
NDIO MAANA HAWATAKI UCHAGUZI, HAWATAKI TUME HURU, HAWATAKI KATIBA YA WANANCHI
 
Toka muanze kusema chadema inakufa mbona bado ipo tu au kuna chadema nyingne mnayoizungumzia?
 
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Tatizo la wananchi halisababishwi na ccm wala chadema,tatizo ni fikra mfu ya viongozi wa hivyo vyama kiasi cha kutumia maguvu na ubabe kwa kutokuwa na maono.maana waneni husema debe tupu haliachi kutika.
 
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Umesahau tetemeko, ko hapa unapost ujinga. Nenda kahudumie ndugu zako na tetemeko
 
Tetemeko hela zimeliwa na ccm na mchato, lkn Wahaya tumeshajenga nyumba zetu...sisi Wahaya usituchukilie powah mwambieni na Lwakatare asijichanganye kurudi kugombea labda agombee ccm ,, maana sisi upuuzi atutaki.
 
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
chadema inajiua yenyewe wala hakuna mtu wa kuia chadema.
mfano mzuri ni mbowe kuwachangisha wabunge wake fedha kwa ajili ya familia yake.mbowe kala pesa alozopewa na lowasa peke yake na mambo mengine
baada ya bunge kuvunjwa kuna viongozi wengi mno wa chadema watahama maana wamechoshwa na uhuni wa mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapashwa kuongea vitu kwa evidence sio kubwabwaja mkuu yaani mtu akiwa ccm automatically kichwa kinashake ,,sasa we lini na wapi uliona kuwa Lowassa katoa pesa chadema au kwa Mbowe km si kubwabwaja

Hiyo nisawa namtu aseme kuwa Magufuli alimpa mimba Angera kailuki. Alafu wajinga wa ccm mnaamini .
 
Woote mnawaza kifo cha CHADEMA badala ya kuwaza vifo vyenu.

Kama CHADEMA ikifa bado hakuna la ajabu vimekufa vyema vingi vya mfano wake.
 
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Njia rahisi isiyo gharama ya kuuwa upinzani ni kutenda vipaumbele vya wananchi na sio vipaumbele vya watawala
 
mbona povu,,,,nini kwani,twende taratibu.
Unapashwa kuongea vitu kwa evidence sio kubwabwaja mkuu yaani mtu akiwa ccm automatically kichwa kinashake ,,sasa we lini na wapi uliona kuwa Lowassa katoa pesa chadema au kwa Mbowe km si kubwabwaja

Hiyo nisawa namtu aseme kuwa Magufuli alimpa mimba Angera kailuki. Alafu wajinga wa ccm mnaamini .
Ushahidi upo wazi tu.mwenye akili ndogo kama wewe huwezi ona.
2021 mbowe atakapo amia rasmi ccm atapewa ofisi ya hazina ya chama.yeye si mpenda pesa atapewa mali za chama za ccm alee mpaka achoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.

Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .

Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.

Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.
Yote uliyoandika 👍isipokuwa avatar yako tu ndio inachefua.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom