DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,797
- 44,896
Kama kweli CCM ikifanikiwa kuifuta CHADEMA katika political ground which means, hapo ndo Tz Multiparty itakuwa Imefika kikomo.
Hii nikwasababu sioni chama chochote hapa Tz chenye watu makini kuliko chadema na ccm .
Vyama vitaanzishwa vingi lakini Chama chakuipindua na chadema na ccm , niseme tu mbadala wa Chadema haupo hapa Tz, ...Hizi siasa za Nccr , Act na Tielopii nivyama pandikizi kutoka ccm ...Hivyo bado chadema itaendelea kuumiza vichwa vya wanaccm miaka 100 mbele.
Njia zakuimaliza chadema nikuhakikisha Maisha ya watz wote wa vijijini yanakuwa sawa na viongozi wao sio Mbunge anafanya kazi miaka mitano analipwa Mil 200+ wakati mwalimu anafanya kazi miaka 30 then analipwa Mil 30 kama pensheni. Huku akikatwa kodi kibao.