azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Mimi simuelewa sana katika mwasuala ya vita vinavyo endelea Mashariki ya kati pamoja na nchi za ki arabu pamoja na nchi za kiislamu mpaka pale utawala wa kimarekani na wazungu wa ulaya utakapo anguka.
na kwa ivi sasa tayari zimesha anza kuonekana dalili za kuondoka kwenye Mamlaka ya ulimwengu,
suala ni yupi au wapi wata chukuwa nafasi ya kutawala dunia? baina ya Watu wenye jamii ya kichina, waislamu au waafrika?
kwa upande wa nchi zenye jamii ya kichina zinaonekana kujizatiti katika masuala ya kiuchumi zaidi mfano china sasa ivi ni nchi ya pili yenye uchumi mkubwa duniani na ukiziangalia japani, Korea nazo zote zinafanya uzuri. kiufupi hawa jamaa wame elemea zaidi katika uchumi na technologia
Kwa upande wa nchi za kiarabu na waislamu, ni nchi ambazo zina malihafi nyingi kama vile libya, somalia, Mali, Nigeria, Misri, Tunisia, Pakistani nk, nchi hizi zote zina matatizo ya kiusalama ambayo unwawajumuisha waislamu wanaitwa "wenye msimamo mkali / Magaidi nk"na wakati huo huo Amerca na Ulaya wanazidisha mikakati ya kupambana nao, ila jambo wanalokosea hawa jiulizi kwanini kila siku vikundi hivi vya waislamu wenye msimamo mkali wanakuwa na nguvu wakati Amerca na ulaya wanazitumia serekali za nchi nyengine kuazibiti lkn utakuta badala ya kutatua tatizo, tatizo linazidi na kuambukiza maeneo mengine-
NB " Soma Historia ya kuenea uislamu ulimwenguni' baada ya kuitafuta na kuisoma historia unaweza kugundua kwamba upo uwezekano mkubwa na wao kuweza kuitawala dunia miaka ya mbele
Vile vile Uislamu sasa ivi umekuwa ni mfumo i.e kila somo ambalo lipo duniani ambalo linafaida kwa mwanaadamu basi utalikuta lipo vile katika taaluma za waislamu na kusomeshwa hata huko ulaya na amerca mfano " Islamic Banking, Finance, Islamic doctor nk" hivyo utakuta waislamu wamewekeza katika mfumo wa elimu na vile vile baadhi yao wapo katika mapigano.
Mimi natabiri kuwa mwisho wa Amerca na Ulaya kuitawala dunia unakaribia
nasubiri maoni yangu kutoka ktika ukumbi