Mwisho kutumia petrol na diesel 2040

Mwisho kutumia petrol na diesel 2040

Ila najiuliza kwa nchi zetu hizi sijui itakuwa hizo point za kucharge hasa kama ni mzee wa pori kwa pori ambako umeme without though I believe mpaka tufike huko umeme hautokuwa big deal
Itawezekana tu, watafanya transformation ya sheli kwa kutoa matenki ya mafuta na kufunga electric chargers!

Ila mabadiliko yoyote hua yana faida na hasara!

- KANA -
 
Kuna gari la kifahari linaitwa TESLA hili linatumia umeme tu. Imagine sasa na magar mengineo watakapobadilsha system ikawa kama hili, ingawa kuna magar kama tayota aurius linatumia umeme na petroli.
Na hapo airport ya Amsterdam nimeona ya na tumia umeme na diesel.
Yani i awezekana kabisa magar ya umeme yakatawala.
Tesla ni ghali sana nimeyaona London Na uzuri wa Magari ya electric hulipi road tax
Wanataka watu wengi wanunue hybrids zaidi
 
Wakati George Bush Jr anaipiga Iraq ni kama aligusia suala hili; kwa maneno yake nakumbuka alisema hivi, "In 25 years to come 3/4 of machineries in the world will not be using diesel or petrol as fuel" So naanza kuelewa. Vita ya UGAIDI ilianza kupiganwa siku nyingi.
Sasa Zanzibar sijui watafanyaje cause walikua na dream ya kupata mafuta na gas na wakasema kabisa hivyo sio sehemu ya muungano.
 
Kinachotuponza waafrika ni maono. Hatuna maono.

Yani kupata vimafuta wakaona hata muungano haufai tena, wakasahau mazuri mengi wanayoyapata kutoka kwenye muungano!

- KANA -
 
Impossible future tense hizi stori tushazikia miaka 18 iliopita lakini huwezi zuia matumizi ya Mafuta hayo
Ni kweli
Ila watapandisha bei sana mpaka usindwe kununua
Nakumbuka miaka ya nyuma uarabuni gulf countries kuendesha magari ya V8 ya mmarekani ilikuwa kawaida hata kama mshahara wako ni kima cha chini kabisa.
Lakini baada ya gulf war mafuta yalipanda sana
Wanayakimbia sasa
 
Kinachotuponza waafrika ni maono. Hatuna maono.

Yani kupata vimafuta wakaona hata muungano haufai tena, wakasahau mazuri mengi wanayoyapata kutoka kwenye muungano!

- KANA -
Mbaya zaidi tunataka kuchimba mpaka kwenye maziwa (lakes) wakati hizo ni reserve za maji safi hasa ukizingatia dunia ina percent kidogo sana ya maji ambayo yasiyo na chumvi
 
Wakati George Bush Jr anaipiga Iraq ni kama aligusia suala hili; kwa maneno yake nakumbuka alisema hivi, "In 25 years to come 3/4 of machineries in the world will not be using diesel or petrol as fuel" So naanza kuelewa. Vita ya UGAIDI ilianza kupiganwa siku nyingi.
Sasa Zanzibar sijui watafanyaje cause walikua na dream ya kupata mafuta na gas na wakasema kabisa hivyo sio sehemu ya muungano.
Hawa watu huwa wana plan ya miaka 100

Sisi tuna plan pindi Rais anapoteuliwa tu na miaka yake 5 basi.
Na akiongezewa 5 Na plan imeisha
 
Mbaya zaidi tunataka kuchimba mpaka kwenye maziwa (lakes) wakati hizo ni reserve za maji safi hasa ukizingatia dunia ina percent kidogo sana ya maji ambayo yasiyo na chumvi
Trust me, tukifikia level ya kuchimba mafuta, dunia itakua imeshahamia kwenye nishati nyingine!

- KANA -
 
Mbaya zaidi tunataka kuchimba mpaka kwenye maziwa (lakes) wakati hizo ni reserve za maji safi hasa ukizingatia dunia ina percent kidogo sana ya maji ambayo yasiyo na chumvi
Walikuwa wanayajuwa yote haya
Kutukwamisha au kutokuchimba kabisa ili tusiendelee na kufaidi rasilimali zetu.
Na watapoamua sisi kuchimba wao wana plan ya magari ya Umeme

Bado wanatuacha tu ndio maana nikasema ili tuende na wakati itabidi tuwe na viwanda vya kutengeneza batteries za hayo magari ya hybrids

La sivyo tutakuwa wasindikizaji Rais mwingine atakuja na yake
Naona tunahitaji fikra za ziada
 
Adhali itakayopatikana katika wali ya hewa ifikapo 2060 itakuwa kubwa kwasababu ardhi itakua hasi- na hewa itakua chanya+ kwahiyo tutakua tunatumia kuvuta umeme mkali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom