Joel kaigarula
Member
- Jun 3, 2014
- 28
- 16
kwani hawa microsoft waliinunua nokia kwa mkataba wa miaka mingapi!?
Unaweza kummaliza mpinzani wako kwa kununua shughuli zake na ukazitelekeza hata kufuta uhai wake kabisa/ Ni mbinu muhimu kibiashara kimkakati inakubalika.
Relevance ya hii statement kwa mada husika ikoje Mkuu?
Microsoft walinunua haki za kutumia jina la Nokia kwa miaka 10...deal yenyewe hata mwaka haijamaliza Microsoft kapiga u-turn...
du miaka ming tutawamiss
Nokia na shost wake blackberry wanachechemea ile mbaya ila meakani kama atarudi atatonhisha naona android wamewapoteza hawa
kaka hebu iangalie simu ilivyo changua kitu kimoja kimoja then tafuta kimegunduliwa na nani.
anza na 3g, 4g, 2g, bluetooth, wifi, display, technology za camera, nfc, nk
then utaona hawa kina iphone, huawei and co hawajaleta chochote duniani bali wanatumia vitu vya kina nokia, samsung, alcatel(wazamani), erricson na wengineo.
china ana protect makampuni yake na kuyaruhusu yaibe yanavyotaka, wengine wanamiliki ubongo wa watu (apple) kila wanachofanya kinafanikiwa japo si vyao.
hebu jiulize swali toka android na ios ziwe ndio main os umeona kitu gani kipya cha kushtua zaidi ya kuongeza specs kila mwaka?
Nokia na shost wake blackberry wanachechemea ile mbaya ila meakani kama atarudi atatonhisha naona android wamewapoteza hawa
Kuna simu inayoitwa Android?
Relevance ya hii statement kwa mada husika ikoje Mkuu?
wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?
Relevance ya hii statement kwa mada husika ikoje Mkuu?
Microoft wamenunua shughuli za Nokia na kumfanya Nokia aachane na shughuli alizouza kwa jina lilelile. Microsoft wanabadili jina la bidhaa ambayo kuwapo kwake lilikuwa linamtangaza Nokia. Huoni anaondoa jina la nokia masikioni mwa watu na ndio kifo cha asiyesikika?