Mkapa yupo? hata hivyo pale ni malumbano tu lakini kitakachoamuliwa si kwa faida ya wanachi wote,hapo issue ni kusafisha njia ya 2015.na kwa mujibu wa Nape alivyoongea na waandishi wa habari tayari yametimia niliyowahi kusema humu jukwaani ya kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza Lowasa ndani ya CCM na hakika jina lake ndilo litakaloletwa kwa ku-contest upresident.Maana Nape amekataa ya kwamba waandishi walim-quote vibaya aliposema kujivua gamba,hakumaanisha watu waondoke CCM alimaanisha mabadiliko ya kweli ambayo yanahitaji muda mrefu.Ngoja tuone.Ila huenda uwepo wa Malecela na Mwinyi angeweza kuwasaidia wao sio mimi